Namna tunavyojitengenezea wazee wa ovyo

Namna tunavyojitengenezea wazee wa ovyo

Punguza kujipa umuhimu kiasi cha kuona una weza I cover nafasi ya mwanaume kirahisi hivyo.

Vita ya mwanaume ni ngumu hasa sisi tulio anza sifuri, yaani una kabidhiwa jezi na mchezo hauja uelewa.

Kama kijana akiamua aka jipambanie kibinafsi, maisha ni rahisi ila ana anzaje akati nyumbani kukavu?

Picha lina anza nyumba ya kupanga, maza au faza mgonjwa, madogo 3 wana hitaji support.

Daily natoa heshima kwa ma bro, ma father wanao pambana kupeleka msosi mezani.

Wee acha ungese
View attachment 3574488
Hiyo ni picha ya mtu au kinyago?
 
Labda waajiriwa wa muhindi.

Mwalimu analipwa take home 700k, Hapo tayari ana bima ya yeye, mke wake na watoto na mzazi mmoja.

Anafanya kazi ahsubuhi mpaka saa 9, Jumamosi na jumapili haendi kazini.

Utamfananisha na boda boda anafanya kazi masaa 15/16 per day?

Usikute hata hyo boda boda kapewa na Mwal.
Ukweli huu hawataki kuusikia
 
Back
Top Bottom