Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

really?? i pray that you hear sweeter than these Dr.

It takes a real woman to mean and say those words in a public forum like this...its not a metter using sweeter words, but meaning them. That will melt any man's heart...hata angekuwa Osama!
 
acha kabisaa bana huwa haviepukikki hivi
naskia hadi kuumwa mwenzenu kwa kumiss

Hakuna kitu muhimu kama Kushirikishana ktk maisha, umemshirikisha akajua hali yako na ww umejua hali yake! you are all in the same situation, Muhimu ni kuwa its for the Good of both of u!

Vumilia atarudi na mtainjio maisha yenu tena vizuri kuliko mwanzo!
 
yani hapa ukisikia kisu kimegonga mfupa babu basi ndyo leo!
yani hapa ndo ule wimbo tx moshi aliimba anasema ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo
ndyo vile!

Kwani wewe mbado unaimba kitendawili, tega??

Wenzio tulishategua long time.....

Mdau kafuta mwaka, i.e 12months = 52 wks = 365.25 days......

Kajitahidi kwa kweli...she deserves a crown na siyo mateso tena...

Babu DC!!
 
Hapa sasa unahitaji maamuzi magumu.....

Kama mwaka umepita, mfuate huko huko hata kama unahitaji msaada wa NASA....

It is too much and risky kukanyanga Christmas mbili bila kuiona mbingu....

Amua sasa.... enough is enough, kimbilia wanapouza ticket haraka kabla hujaanza kuokota makopo...

Hata mwenzio atakuwa keshakausha maduka ya watu kwa matumizi ya sabuni....lol

Sitaki kusema zaidi.....jitendeeni haki bwana!!

Kwani mko jela?

Babu DC!!
u have said it babu.
its too risky and painful mbaya zaid mwili ni mwili tu hauwez kuwa chuma.

mwanzoni i used to thikni kitu kidogo sana ila nilipoanza kuliish naoana ni gumu sana sana

the best way itakuwa ni kumfwata. a sitojali matokeo ya kumfwata.
 
Ndoa 11 years, Klein over 11 years?????? Uzushi aliosahau kuuliza ummu kulthum na Mtambuzi. Wamenituma, nimekataa wee hadi walivyonitishia kupingulua urafiki. Lol

klein alizaliwa enzi za shule bana 6 yrs ndo mm nikaolewa, yaelekea sijakwambiaga ama ulimissigi point kwenye uzi wangu mmoja.
 
u have said it babu.
its too risky and painful mbaya zaid mwili ni mwili tu hauwez kuwa chuma.

mwanzoni i used to thikni kitu kidogo sana ila nilipoanza kuliish naoana ni gumu sana sana

the best way itakuwa ni kumfwata. a sitojali matokeo ya kumfwata.

Hujamaliza kupack bado??

Ngoja nimwite Kaunga atufingie thread kwa sala, kisha tukutakia "SAFARI" njema.....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
It takes a real woman to mean and say those words in a public forum like this...its not a metter using sweeter words, but meaning them. That will melt any man's heart...hata angekuwa Osama!

mmmh! thanks ingawa yanaweza kuwa mepesi sana kwa anayemaanishiwa kila siku.
 
klein alizaliwa enzi za shule bana 6 yrs ndo mm nikaolewa, yaelekea sijakwambiaga ama ulimissigi point kwenye uzi wangu mmoja.

Hata mie nilitaka kumkumbusha Kaunga, kwamba ni watu wachache siku hizi wanaanza kuhangaika na leseni...

Majority wanaanza kufungua duka halafu paperwork wanahangaina nazo baadaye...

Nadhani inalipa sana....I reserve more comments...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!

Mmhhhh! Natamani ungekuwa mke wangu! I also wish mke wangu angeyasoma haya uliyoyaandika! Nawatakia kila la kheri katika ndoa yenu na Mungu awabariki saaaanaaa!
 
daah! naomba nisiseme sana manake...............................................................................

Hahahaha gfsonwin acha hizo bana hebu sema neno nilidhike.lol
Hizo desh desh ni ishara kwamba lipo la kusema basi tu kuna kitu kinakufunga. Kama hutojali ningependa kusikia neno moja tu kutoka kwako.
 
Last edited by a moderator:
Halafu unaanza kunipa wasi wasi,

Zamani watu walikuwa wakiona mtu anaokota makopo, wanasema kwamba alikuwa na akili nyingi....

Ila nitakuombea mjukuu wangu. Pia nitawaombea nyote ili mtuhumiwa asikufikishe kwenye njia panda kama teacher gfsonwin...

Hata hivyo anastahili heko.....kwangu mimi, the maximum I managed was 3 months...yeye kapiga hiyo mara 4...

Anayo haki ya kurun mental aiseee!!

Babu DC!!
babu wakati tunaamua tuli underestimate impact ya distance
 
najua ndo maana mnapendwa sana akina babu

Halafu mie leo ndo ninaujio....

Yaani nimemwonea huruma sana huyu teacher gfsonwin....

Mie inapofikaga 30days...nahisi dunia imesimama....

Sasa huyu amekata 30days x 12......it is too much kwa binadamu wa kawaida ambaye haumwi... na anajilia maprotini ya kutosha....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dada gfsonwin nimekupendaje leoooo...

Jamani all you married couples ebu tuleteeni stori kama hizi at least once in a while please na sisi tuliokata tamaa ya kuoa tushawishike. maana kina amu, Da Sophy, Wiyelele wanatukatisha tamaa kabisa.

Hata mzabzab akiiona hii anawesha kushawishika kuacha kugegeda ovyo na yeye akamtafuta gfsonwin wake atakae mmiss namna hii...

Otherwise dada yangu hapo kwenye ushauri wa da Kaunga wa ku-hug watu walio karibu naomba unapowazuru wengine usinipite tafadhali...

Me misses you so much n love u a lot! U truly r an inspiration...ila bado nipo nipo kwa muda!!!

#weNidtoTalk
 
Last edited by a moderator:
Majority wanaanza kufungua duka halafu paperwork wanahangaina nazo baadaye...

Mkuu Dark City leseni zenyewe zimekuwa ngumu kupata siku hizi kwahiyo vijana wanaona ni bora kufungua duka kwanza ili leseni ilikute linaendelea. Kama linatia hasara ama linaleta faida sasa hiyo ni juu yako wewe mwenyewe kupima na kuamua.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha gfsonwin acha hizo bana hebu sema neno nilidhike.lol
Hizo desh desh ni ishara kwamba lipo la kusema basi tu kuna kitu kinakufunga. Kama hutojali ningependa kusikia neno moja tu kutoka kwako.
Mwita Maranya niko na wakati mgumu sana sana, manake hali yangu kimwili na kiakili havina mawasiliano tena
 
Last edited by a moderator:
babu wakati tunaamua tuli underestimate impact ya distance

Kwani kaenda Pluto na wewe?

Mkibilie bwana...ila muwe makini sana....msikimbie kama wakenya na marathon...

Aorta huwa zinapasukaga...lol!!:eyeroll1::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:

Babu DC!!
 
Dada gfsonwin nimekupendaje leoooo...

Jamani all you married couples ebu tuleteeni stori kama hizi at least once in a while please na sisi tuliokata tamaa ya kuoa tushawishike. maana kina amu, Da Sophy, Wiyelele wanatukatisha tamaa kabisa.

Hata mzabzab akiiona hii anawesha kushawishika kuacha kugegeda ovyo na yeye akamtafuta gfsonwin wake atakae mmiss namna hii...

Otherwise dada yangu hapo kwenye ushauri wa da Kaunga wa ku-hug watu walio karibu naomba unapowazuru wengine usinipite tafadhali...

Me misses you so much n love u a lot! U truly r an inspiration...ila bado nipo nipo kwa muda!!!

#weNidtoTalk

With all the risks,

Nakushauri wewe Mentor ukavue samaki wako mwenyewe...

Halafu ukumbuke kwamba, pamoja na vifo vya vichanga, watu hawachi kurudi labour room...!!

Sitaki kusema zaidi ila kichaa utakachopata, hata ushauri kama hutakuwa na nafasi ya kuusikia...

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom