babu mi sitaki utani na haya makitu!Sasa ugumu uko wapi dada??
Diagnosis tumeshapatia, dawa tumeshakuandikia, ...mbona sasa hutaki kuzinywa??
Kwani tiketi ni shilingi ngapi mpendwa??
Naoan snowhite anakaribia kuanzisha mchango ujue....
Babu DC!!
na si unajua ndo lilikuwa lengo langu KUU!ahsante kwa kucheka sissie!dah! mmenifanya nicheke wapedwa wangu
she is not but huwaga ni rafiki yangu sana na mara nyingi nikitaka kutoka for coffee basi natoka nae.Eti nini??
Kwani cacico ndiye G wako??
Hebu basi usifanye mzaha kwenye issue sensitive kama hii teacher...!
Babu DC!!
Mwita Maranya niko na wakati mgumu sana sana, manake hali yangu kimwili na kiakili havina mawasiliano tena
dah! mmenifanya nicheke wapedwa wangu
babu mi sitaki utani na haya makitu!
mwali wangu najua alivo na kifua!
ninapoona amefika hapa najua nini kinapita akilini mwake saa hii !najua
mi nna wiki tu hapa sipo home nahisi akili inaniruka !ah itakuwa hizo 365 1/4(ehn babu au umesahau huu mwaka ni mfupi)mi sio akili za jikoni tuu hata za jiografia nimo babu! oh!
Mjukuu DC !!
mmmh! na kweli inabidi iwe hivyo
Unajua tuko serious wenzio??
Hebu malizia basi kazi ya kupack....after all, unahitaji kufuli kama 2 na jeans...
Mambo mengine ni baada ya hitimisho..
Anything else na makorokoro ya mama Kle tuyakutuma kwa DHL....
![]()
Babu DC!!
ahahahhaha itabidi iwe hivo banaaa
kisa cha kufanya vitu visahau kazi yake nini vikafikir kazi yake ni kupiga vigelegele nini?
Mambo ya mgawanyo wa kazi bana ,AREA OF SPECIALIZATION !
kila eneo liwe na kazi yake na hakuna KUTEGEA!
babu mi sitaki utani na haya makitu!
mwali wangu najua alivo na kifua!
ninapoona amefika hapa najua nini kinapita akilini mwake saa hii !najua
mi nna wiki tu hapa sipo home nahisi akili inaniruka !ah itakuwa hizo 365 1/4(ehn babu au umesahau huu mwaka ni mfupi)mi sio akili za jikoni tuu hata za jiografia nimo babu! oh!
Mjukuu DC !!
linazamaje sasa wakati wazee wenzio tunafanya kikao hapamwali jahazi linazama hili.
Ngoja nimwite teacher gfsonwin asome tena hii post....
Mie nimesema kuwa nikimaliza mwezi nakaribia kupelekwa Mireembe....
Wewe una week tu, unakaribia kuvua kila kitu....
Ni ushuhuda wa watu wawili kutoka independent camps...
What else does she need....??

tunajuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuua wat ur goin thru mwali!ila babu wewe na snowhite siwawez mweeeeeeeeh!