Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Halafu mie leo ndo ninaujio....

Yaani nimemwonea huruma sana huyu teacher gfsonwin....

Mie inapofikaga 30days...nahisi dunia imesimama....

Sasa huyu amekata 30days x 12......it is too much kwa binadamu wa kawaida ambaye haumwi... na anajilia maprotini ya kutosha....

Babu DC!!
nikisema mti mkavu unachimbwa dawa amini.
kila nifanyacho hakinisaidii zaid ya kunitia hasira tu.
 
Mkuu Dark City leseni zenyewe zimekuwa ngumu kupata siku hizi kwahiyo vijana wanaona ni bora kufungua duka kwanza ili leseni ilikute linaendelea. Kama linatia hasara ama linaleta faida sasa hiyo ni juu yako wewe mwenyewe kupima na kuamua.

Ukipata leseni halafu ukakata mtaji au ukakosa fremu utafanyaje mkuu??

Tena bongo hii hii ya JK na mwanae....bora ukafungua tu hivyo hivyo,...liwalo na liwe....lol!!

Babu DC!!
 
Dada gfsonwin nimekupendaje leoooo...

Jamani all you married couples ebu tuleteeni stori kama hizi at least once in a while please na sisi tuliokata tamaa ya kuoa tushawishike. maana kina amu, Da Sophy, Wiyelele wanatukatisha tamaa kabisa.

Hata mzabzab akiiona hii anawesha kushawishika kuacha kugegeda ovyo na yeye akamtafuta gfsonwin wake atakae mmiss namna hii...

Otherwise dada yangu hapo kwenye ushauri wa da Kaunga wa ku-hug watu walio karibu naomba unapowazuru wengine usinipite tafadhali...

Me misses you so much n love u a lot! U truly r an inspiration...ila bado nipo nipo kwa muda!!!

#weNidtoTalk

uzuri unayajua maisha ya home, so sina cha kukwambia zaid ya nakuapenda sana sana mdogo wangu wa moyoni.
unasalimiwa na uncles.
 
wow this is so sweet ooh, Mungu awape maisha marefu mfike Golden jubilee
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!
 
nikisema mti mkavu unachimbwa dawa amini.
kila nifanyacho hakinisaidii zaid ya kunitia hasira tu.

yani hasira ya hii makitu unaweza kung'ata kitenge ujue!
mwe! Dark City hebu tukae kama kamati tufanye annivesary hii ihappenhuko huko!
nani kasema aliye juu mngoje chini banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
PEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOPPLE operesheni FUATA BABA KLEIN ianze
 
Last edited by a moderator:
Vitaanzania wapi kuwasiliana wakati mwili ume-starve kwa siku zaidi ya 365?

Hata hivyo wewe ni superwoman...

Babu DC!!

naona ndo mana cognitively nakuwa low sana, nikija kwenye psychomotor sina rhythm kabisa.
jana ofcn nilishindwa kudeliver task yagnu moja and unfortunately bosi akaniuliza kwann hapa hujaendelea nikamjibu kitu ambacho hakipo kabisa. alikaa akawaza mimi nikawa naondoka akanizuia akasema tena nenda kafanye esterification kwenye formula iyo iyo.

nilichukua ilepaper work nikaweka mezan nikaanza kulia sijaumizwa, sija nyanyaaswa, ni task ambazo nafanya kila leo lkn jana niliona mateso. ndipo nilipojiassess na kusema sasa napatukichaa mwili na akili havina mawasiliano kabisa.
 
yani hasira ya hii makitu unaweza kung'ata kitenge ujue!
mwe! Dark City hebu tukae kama kamati tufanye annivesary hii ihappenhuko huko!
nani kasema aliye juu mngoje chini banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
PEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOPPLE operesheni FUATA BABA KLEIN ianze

Kwani sijaeleweka nilivyomwita Kaunga atufungie kwa sala?

Sasa kama akili na mwili vimeshakata network, nani ana shida na picha ya mnato??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
With all the risks,

Nakushauri wewe Mentor ukavue samaki wako mwenyewe...

Halafu ukumbuke kwamba, pamoja na vifo vya vichanga, watu hawachi kurudi labour room...!!

Sitaki kusema zaidi ila kichaa utakachopata, hata ushauri kama hutakuwa na nafasi ya kuusikia...

Babu DC!!

Kichaa nilishapata sana wakati niliamua kuvua babu. Kwa sasa na mimi nimeenda hunger strike..sivui sili...tuone sasa!!!

uzuri unayajua maisha ya home, so sina cha kukwambia zaid ya nakuapenda sana sana mdogo wangu wa moyoni.
unasalimiwa na uncles.

:A S-heart-2:Thank God it's Friday...wapi dompoooooooo!!!!!!
 
yani hasira ya hii makitu unaweza kung'ata kitenge ujue!
mwe! Dark City hebu tukae kama kamati tufanye annivesary hii ihappenhuko huko!
nani kasema aliye juu mngoje chini banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
PEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOPPLE operesheni FUATA BABA KLEIN ianze

mmmh! na kweli inabidi iwe hivyo
 
naona ndo mana cognitively nakuwa low sana, nikija kwenye psychomotor sina rhythm kabisa.
jana ofcn nilishindwa kudeliver task yagnu moja and unfortunately bosi akaniuliza kwann hapa hujaendelea nikamjibu kitu ambacho hakipo kabisa. alikaa akawaza mimi nikawa naondoka akanizuia akasema tena nenda kafanye esterification kwenye formula iyo iyo.

nilichukua ilepaper work nikaweka mezan nikaanza kulia sijaumizwa, sija nyanyaaswa, ni task ambazo nafanya kila leo lkn jana niliona mateso. ndipo nilipojiassess na kusema sasa napatukichaa mwili na akili havina mawasiliano kabisa.

Sasa ugumu uko wapi dada??

Diagnosis tumeshapatia, dawa tumeshakuandikia, ...mbona sasa hutaki kuzinywa??

Kwani tiketi ni shilingi ngapi mpendwa??

Naoan snowhite anakaribia kuanzisha mchango ujue....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kichaa nilishapata sana wakati niliamua kuvua babu. Kwa sasa na mimi nimeenda hunger strike..sivui sili...tuone sasa!!!

:A S-heart-2:Thank God it's Friday...wapi dompoooooooo!!!!!!

kesho brajeck kwakweli nitakuwa na cacico wangu japo aniliwaze njoo mdogo wangu
 
Sasa ugumu uko wapi dada??

Diagnosis tumeshapatia, dawa tumeshakuandikia, ...mbona sasa hutaki kuzinywa??

Kwani tiketi ni shilingi ngapi mpendwa??

Naoan snowhite anakaribia kuanzisha mchango ujue....

Babu DC!!

dah! mmenifanya nicheke wapedwa wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom