Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,715
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.

sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.

usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!

seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.

jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.

Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!
 
Nice one,true love, hongera kwa mme kupata mke haswaaa pia hongera kwa ulivyobarikiwa,happy aniversary!!

thanks but kiu yangu ya kumiss bado haikatiki. sijui nifanyeje.
labda Kaunga anisaidie cha kufanya.
 
Last edited by a moderator:
hongera sana dada Mungu akuongezee miaka mingine 111 ya ndoa.

amen mdida but umesahu kusema anipunguzie ya upweke,,,,,,,,,,,,yani upweke unaniua mwenzenu.
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi utawafanya wengi wajifunze kupenda. Asante kwa ushauri mzuri kwa kupitia huu uzi
ijapokua cjui kama ulifahamu kama hiki ulichokiandika ni bonge la fundisho kwetu
sijui kama ni funzo kwa wengine ila najua tu nimeeleza ninavyojiskia moyoni..................ukweli leo siko poa nimemiss sana sana kiasi kwamba natamni nipewe poo niletewe tuongee kisha arudi kwenye kazi zake.
 
Ndo maisha mwaya gfsonwin , kumiss-ana kupo.

not to this extent lolz!
yaani huwez kuamini hata kazini sijaweza kwenda manake nina mawazo sana juu yake, akili haiwezi ku concetrate kwenye mambo ya msingi tena.
 
Dah Mwalimu gfsonwin kwanza hongera sana kwa kufikisha huu umri mrefu wa ndoa yako na bado ukaendelea kutamani kuendelea kuwepo kwenye ndoa yako. Ni wengi ambao wapo ndani ya ndoa ila ukiwauliza ni nini wanachotamani wangeweza kukuambia ni kuvunjika kwa ndoa zao kila mmoja ashike njia yake ila kwako hongera sana kwa kuwa bado una ule upendo wako wa kwanza wa siku za uchumba na siku za mwanzo wa ndoa yako. Hongera sana sana
Natamani tulio kwenye ndoa tungekuw ana ujasiri kama huo kusema wazi namna tulivyowamiss wapendwa wetu namna umbali uliopo kati yetu na wao unavyotuumiza na namna tunavyowapenda. Nahisi huko waliko wanajisikia vyema sana wakiambiwa kuwa wanapendwa na kuna mtu anawamiss sana.

Nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kufikisha umri huu wa ndoa yako na naamini Mungu atazidi kuwajalia baraka zake na rehema zake katika kufanikisha mengi ya ndoa yenu na ikawe ya heri na baraka.

(off topic hata mimi nammiss sana my wife wangu popote alipo muda huu na namwambia nampenda sana)
 
Last edited by a moderator:
Umeshniudhi, kumbe umeolewa mi nakupigia misele siku zote hahahahaaa (kidding) God bless you Bhana
 
amen mdida but umesahu kusema anipunguzie ya upweke,,,,,,,,,,,,yani upweke unaniua mwenzenu.

i miss u.gif
Pole dada gfsonwin.
 
That is so so sweet.... I wish niwe huyo lucky G!!! kwa dunia ya sasa iyo ndo maana ya maneno "tutakua wote daima"..
hongera sana
 
thanks but kiu yangu ya kumiss bado haikatiki. sijui nifanyeje.
labda Kaunga anisaidie cha kufanya.

I know the feeling my dear. Ulichofanya (kushout out and pouring your heart is good thing. You can cry, you can sing, you can hug all the people around you and thank the Almighty for the rare feeling you have.

I am so happy for you my dearest.
 
Last edited by a moderator:
Napia nmm naona ni hatua nzuri mliyofikia ya kumisiana coz inaimarisha penzi. mkikutana itakua kama ndio kwanza mnatongozana.

Sipati picha sijui itakuwaje siku hiyo!
 
Hongera kwa Upendo wa dhati mlionao mpaka ss.nimekupenda ghafla gfsonwin

Back
Top Bottom