Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

Huu uzi umeniliza machozi makubwa sana both moyoni na machoni pia!!!

I dont know if i will be luck to have that feelings in my life of marriage............it was my dream so far for so long to see it happening, If i will be luck then i will be among only 100 out 7 bilion population in the world, for am sure very few deserve this!!!

Kila la kheri mumiiiiiii gfsonwin and mr G aka baba klein and let the Great God be with you all the hours!!!!

Remember to say hi to the boys!!!!!
thanks mkuuuuuu but its painful sana sana
nataman niwe na mabawa jamani mwenzenu..................
 
Hahahahaahhahahah,

Wewe ni balaa Mr Rocky..!
Nimecheka sana..... kumbe kuna coincidence hata kwenye kumiss wake/waume....lol!!:yo:

Hii kwangu ndiyo aina ya great thinking...

Cheers bro platozoom

Hili linahitaji msaada wa Mungu na roho mtakatifu kulimeza mkuu .. KakaKiiza...

But, the Lord is a great and your only shepherd, will never let you alone.....Amen!

Hapa kuna maswali ya kiutu uzima .. ummu kulthum,

Labda tumwombe teacher gfsonwin atafute muda baada ya stress kupungua atudadavulie...

Ukisema hivi bwana unawaacha watoto wanaelea hewani....

Kwa zaidi ya muongo mmoja, teacher gfsonwin huwezi kusema umekosa kalufundi ka kukusaidia kumalizana na hayo ma-tention...

Ngoja niwaite wakubwa wenzangu hapa tusaidiane.....

Cc.. Bishanga, Asprin, Nyamayao, @FP, snowhite....

Babu DC!!
babu unasahau kwamba kila ngoma ina upigaji wake na mlio wake.
 
babu nimepigwa biti mimi!nimekaatu kimya!nimemuudhi sana leo kungwi wangu
kwanza kwa kuandikahapa tu tayari kashanuna!
ila mwali nisamehe tu japo wiki tu niruhusu!

nimekunyima manake najua napata shida dada yako na ukisema utaniliza.
 
acha kabisaa bana huwa haviepukikki hivi
naskia hadi kuumwa mwenzenu kwa kumiss

mwaaaaaaaali !mi sawa umeniweka kifungoni lakini hili hapa kweny red ujue nimeshindwa kulivumilia!
kimsingi UMEMISS au UMEmMISS
manake ujue ni maneno mawili tofauti af yana maana tofauti ujue!
mi si mwalimu wa kiswahili banaaaa najuasanahaya makitu ya ngeli na nafsi !
cc Dark City
 
Last edited by a moderator:

labda niweke sawa hapa jamani nimemiss na kummiss sasa hapo utajua mwenyewe.
 
naomba nitoke mtandaoni kidogo nitarudi jion.
 
Kwa mtazamo wangu binafsi hii hali imetokea kwasababu uko kwenye hot period unahitaji kukojoreshwa tu basi!
 
Kwa mtazamo wangu binafsi hii hali imetokea kwasababu uko kwenye hot period unahitaji kukojoreshwa tu basi!
kazi kwako weye mkeo anayetokewa na hiyo hali kwa ajili ya kuzaliana tu!
MWENZIO MKEWE ANAMUHITAJI
asubuhi ,mchana ,jioni
jumatatu,jumanne,jumatano,alhamis,ijumaa,jumamosi.jumapili
january,feb,march,april,,may,june,julay,august,sept,oct,nov,dec
tarehe 1 -31
pole wee!
UMUWACHE!
 
Kwa mtazamo wangu binafsi hii hali imetokea kwasababu uko kwenye hot period unahitaji kukojoreshwa tu basi!

kwahiyo wewe mkeo huwa kila akikumiss anataka kutotoleshwa sio??

FYI mie huwa ninammiss asb, mchana jion,
jan hadi dec masika kiangazi kipupwe. nikiwa home ama sipo
 
ahsenti!
domo langu lap!:tape2::tape2::tape2::tape2:

mwali na maana huoni hii hali na haya majira lkn?? ama wanitaka kunifukunyuaaah!
kwanza saa hizi kichwa changu cha moto ama cha baridiiiiiiiii??
 
kwahiyo wewe mkeo huwa kila akikumiss anataka kutotoleshwa sio??

FYI mie huwa ninammiss asb, mchana jion,
jan hadi dec masika kiangazi kipupwe. nikiwa home ama sipo
thts my dada bana!
kama ulikuwepo vile kichwani kwangu!
nazidije kukupenda sasa!
 
mwali na maana huoni hii hali na haya majira lkn?? ama wanitaka kunifukunyuaaah!
kwanza saa hizi kichwa changu cha moto ama cha baridiiiiiiiii??

ahahahahahhha niache bana mimi!
kichwa cha moto au cha baridi mchezo!
sasa ndo upime mwenyewe!
mi naonacha vuguvugu!
 
thanks mkuuuuuu but its painful sana sana
nataman niwe na mabawa jamani mwenzenu..................

Hapana usitamani kuwa na mabawa maana hutaweza kuwa nayo............najua kinachokusumbua ni mapenzi ya kweli kwa hubby wako...........but himili pressure utakuwa binadamu mzuri, ukishindwa kuhimili utakuwa binadamu mbaya, sawa ntoto nzuri...... pole sana, vumilia kidogo atakuja nimewasiliana nae jana nimemwambia hali halisi, halafu akija atakuletea pipi ya kijiti, na akienda sokoni atakuletea andazi, pale dukani atakuletea cola na ice cream, kuna nguo nzuri pia ameiona huko ameshakununulia na ameweka kwenye begi amefunga kwa lebo imeandikwa "kwa ajili yako", akija si utakubali kutoka nae out eehhh maana amepanga akutoe out ya maana.............vumilia mumiiii: nataka nikuimbie wimbo mmoja hv unasema: ukimalizaaaa kaaaziiii unavalishwa taaaajii......................sasa imba hivi: ukimaliza kuvumilia unavalishwaaaa peeenzi.......endelea kuimba nakuja nimeona miss call yake ngoja niangalie..................!!!!!!!!!!!!!!!
 
thts my dada bana!
kama ulikuwepo vile kichwani kwangu!
nazidije kukupenda sasa!

mwali acha tu na huyu naye sjui kanitokea wapi na kiswahili chake cha native hapa.
 
mwaaaaaaaali !mi sawa umeniweka kifungoni lakini hili hapa kweny red ujue nimeshindwa kulivumilia!
kimsingi UMEMISS au UMEmMISS
manake ujue ni maneno mawili tofauti af yana maana tofauti ujue!
mi si mwalimu wa kiswahili banaaaa najuasanahaya makitu ya ngeli na nafsi !
cc Dark City

Kwa akili tu....

Yaani wewe snowhite ni aina ya watoto ambao mzazi anajipiga kifua na kutamba mbele ya wazee wenzake kwamba nguvu zake haijapotea hata chembe.....return on investment is optimal and maximamu!!

labda niweke sawa hapa jamani nimemiss na kummiss sasa hapo utajua mwenyewe.

Mzani umalalia upande gani gani?

Haya mambo suluhu zake hazifanani ujue....lol!!

ahsenti!
domo langu lap!:tape2::tape2::tape2::tape2:

Hata mie naona ban ya kwenye hii thread inanijia...lol

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahhha niache bana mimi!
kichwa cha moto au cha baridi mchezo!
sasa ndo upime mwenyewe!
mi naonacha vuguvugu!

mie hata sielewi ni cha nini wallah!
ila tu najua aleo hakiko sawa kabisaaaaaaaaaaa
sasa sijui hata mti mkavu unataka kuchimbwa dawa yaani hata sielewi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom