Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
angekuwepo ningelialia hivi mkuu??
Ndo nashangaa lakini Klein si yupo hapo ukimwangalia unajisikiaje si kama baba Klein yupo?
angekuwepo ningelialia hivi mkuu??
Jamani mwaka 2002/4/21 ilikuwa ni siku ya ajabu sana maishani mwangu as ilizima taa ya ukapera na kuwasha taa ya u-mke wa mtu.
sijui nini kipo akilini mwangu leo, manake hata kazini sijaenda, but i feel like nimtakie hubby wangu happy anniversary ya 11 yrs ya ndoa wakati siku haijafika. I know kwa hii miaka 10 iliyopita haikuwa migumu sana kwetu, but pia haikuwa rahisi. najua aliponikosea na nilisamehe na hata pale nilipokosea nilikiri na akasamehe na kusahau.
usiku wa leo nimelala na mawazo sana as if labda ndio nasubiria siku ya ndoa, nimemuwaza sana hadi kujikuta nashindwa hata kuconcetrate kwenye mambo ya msingi, i wish angekuwepo karibu labda angejua nnavyojiskia, nimemuemail, nimeskype nae but bado kiu yangu haijaisha, natamani nipae niende alipo labda nikisema nae usoni atajua jinsi gani ambavyo najiskia juu yake. ameniambia mengi matamu lkn bado kiu haijakatika nimetizama nguo na viatu vyake nikajikuta nalia wapendwa kwa kummiss mume wangu!!!!!!!!!!
seriously G nakumiss honey..................yaani hata aya matakataka ya skype hayana maana kwangu maana ni uwepo wako tu nauhitaj kwangu.
aaaggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrr nashindwa kufanya kazi mwenzenu nisaidieni. mbaya zaid sasa na yeye anaumia the same as mimi kiasi kwamba anafika mahali anasema aache kilichompeleka arudi nyumban but nikifikiria life wise hiyo sio akili.
jamani staki mtu anishauri ila tu nataka nishee na nyie experience hii ninayoipata ili mjue kabla ya kuamua kutengana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha mnatakiwa mfikirie mtafanyaje kwa maisha yaliyobaki.
cacico na snowhite msiseme kitu kwenye huu uzi.
Miss you sana sana baba Klein wangu mwaaaaaaaaaah!
I may not always contact you, but our distance makes me miss you. I may not always stay in touch, but I care for you very much. I may not always say hi, but I hope never to say goodbye. I may not prove to be the perfect one for you, but I hope my love, never fades to an end.
angekuwepo ningelialia hivi mkuu??
Kwa akili tu....
Yaani wewe snowhite ni aina ya watoto ambao mzazi anajipiga kifua na kutamba mbele ya wazee wenzake kwamba nguvu zake haijapotea hata chembe.....return on investment is optimal and maximamu!!
Mzani umalalia upande gani gani?
Haya mambo suluhu zake hazifanani ujue....lol!!
Hata mie naona ban ya kwenye hii thread inanijia...lol
Babu DC!!
Halafu una muda gani toka upate hii likizo ya lazima??
Naona hapa kuna psychological depression...
Babu DC!!!
daaaaaaaamn!tatizo sasa yote viianaenda sambamba.......................damn it!
sijui nataka nikumbatiwe, hapana nahs nataman tu kuinusa harufu yake, lkn hapana nataman tu kumfeel yeye
dah! napenyewe naona haitoshi basi ata tu tulale bana aaaaaaaaaaaaaggggggggggggggrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhhhhhhhhh!
Babu acha tu, ukiona nalia nalia hapa ujue mti mkavu unataka kuchimbwa dawa.Halafu una muda gani toka upate hii likizo ya lazima??
Naona hapa kuna psychological depression...
Babu DC!!!
tatizo sasa yote viianaenda sambamba.......................damn it!
sijui nataka nikumbatiwe, hapana nahs nataman tu kuinusa harufu yake, lkn hapana nataman tu kumfeel yeye
dah! napenyewe naona haitoshi basi ata tu tulale bana aaaaaaaaaaaaaggggggggggggggrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhhhhhhhhh!
Babu upo juu kwa kulea wajukuu
Kwa akili tu....
Yaani wewe snowhite ni aina ya watoto ambao mzazi anajipiga kifua na kutamba mbele ya wazee wenzake kwamba nguvu zake haijapotea hata chembe.....return on investment is optimal and maximamu!!
Mzani umalalia upande gani gani?
Haya mambo suluhu zake hazifanani ujue....lol!!
Hata mie naona ban ya kwenye hii thread inanijia...lol
Babu DC!!
babu nilichogundua bana kila chungu na mwiko wake na kila ngoma na mpigaji wake.Tuko pamoja....ndiyo maana nikakukuuliza toka mwanzo....
Hivi umepoteza ujanja wako wote wa porini au na wewe hukwenda JKT (Jando/Unyago wa Nyerere)??
Kitu na box mdogo wangu....the buck stops there......lol!!
Babu DC!!
Hapana usitamani kuwa na mabawa maana hutaweza kuwa nayo............najua kinachokusumbua ni mapenzi ya kweli kwa hubby wako...........but himili pressure utakuwa binadamu mzuri, ukishindwa kuhimili utakuwa binadamu mbaya, sawa ntoto nzuri...... pole sana, vumilia kidogo atakuja nimewasiliana nae jana nimemwambia hali halisi, halafu akija atakuletea pipi ya kijiti, na akienda sokoni atakuletea andazi, pale dukani atakuletea cola na ice cream, kuna nguo nzuri pia ameiona huko ameshakununulia na ameweka kwenye begi amefunga kwa lebo imeandikwa "kwa ajili yako", akija si utakubali kutoka nae out eehhh maana amepanga akutoe out ya maana.............vumilia mumiiii: nataka nikuimbie wimbo mmoja hv unasema: ukimalizaaaa kaaaziiii unavalishwa taaaajii......................sasa imba hivi: ukimaliza kuvumilia unavalishwaaaa peeenzi.......endelea kuimba nakuja nimeona miss call yake ngoja niangalie..................!!!!!!!!!!!!!!!
Babu acha tu, ukiona nalia nalia hapa ujue mti mkavu unataka kuchimbwa dawa.
sio rahisi kama utani tunaoweza kuufanya hapa,
nimefika ku pre empty ili nipate nafuu akilini mwangu
haya maskypu naona yana watu na watu mimi wala hayanisaidiii manake siwez kumgusa babu
mwaka mzima unaishia kumwona kwenye keybodi na screen kama mtangazai wa cnn??
sijui kama ni funzo kwa wengine ila najua tu nimeeleza ninavyojiskia moyoni..................ukweli leo siko poa nimemiss sana sana kiasi kwamba natamni nipewe poo niletewe tuongee kisha arudi kwenye kazi zake.
Some of us will die without hearing 'these words' from our loved ones...that hubby of yours is hell-of-a lucky dude!
yani hapa ukisikia kisu kimegonga mfupa babu basi ndyo leo!Hahahahahahah,
Unajua bwana, hii miili ina elasticity limit ujue.....
Babu DC!!
Huko aliko mpenzi wako hakuna huduma za Fastjet?
umeona enh babu!
mimi ndo mwenywe baana!nna akili mpka kichwa kinauma
Mjukuu DC !!