Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Yule wa mwanzo namkumbuka na I love you yake ilikuwa ya ukweli but mazingira hayakuturusu.
Yupo, naishi mkoa mmoja hapa bongo, tunawasiliana kawaida sana ni kaka na dadake nowdays

Kuna msemo mmoja unasema kuwa "ukiona wapenzi wa zamani wanaendelea kuwasiliana basi jua kuwa hao hawakuachana au bado wanapendana"

Unasemaje hapo?
 
Mi bado sijaelewa....yan toka yupo kwao hadi unamhamishia kwako ulikuwa unaonesha vitendo tu?

sana asee. kapata sapraiz zangu sana enzi zake. na baada ya ndoa... ni full vitendo. ila kuandikiwa kwenye kadi, barua na sms nimemuandikia sana, hapa şi tunajadili kutamkiwa au?
 
sana asee. kapata sapraiz zangu sana enzi zake. na baada ya ndoa... ni full vitendo. ila kuandikiwa kwenye kadi, barua na sms nimemuandikia sana, hapa şi tunajadili kutamkiwa au?

Tunajadili kutamka!
 
Hivi unakumbuka ni mara ngapi umeshawahi kulitamka hilo neno kwenye maisha yako kwenye suala la mapenzi?

Je unamkumbuka wa kwanza uliyemuambia hivyo?

Yupo wapi sasa?

Damn .......
Nikimkumbuka wa kwanza kumuambia hivyo leo ni muke ya mutu na ana watoto .....

Halafu nimeshawahi kulisema kama maraaaaaaaa ......mmmhhhhhhh........ngoja niendelee kukumbuka

Kama mara 6 hivi ........

Wewew je?

Achana na zile za uongo,nataka za ukweli!

Siku hizi hayana uzito kivile maana waingereza wamerahisisha sana eti I love you lakini ingekuwa linabaki kwa kiswahili ingekuwa bado issue.
 
Siku hizi hayana uzito kivile maana waingereza wamerahisisha sana eti I love you lakini ingekuwa linabaki kwa kiswahili ingekuwa bado issue.

Ushawahi kumtamkia mtu?
Unamkumbuka wa kwanza?
 
sana asee. kapata sapraiz zangu sana enzi zake. na baada ya ndoa... ni full vitendo. ila kuandikiwa kwenye kadi, barua na sms nimemuandikia sana, hapa şi tunajadili kutamkiwa au?

Acha kujitoa ufahamu babu....iwe uliandika sms au hata barua ndo kutamka hukohuko...si ndio Eiyer?
 
Last edited by a moderator:
Sio kweli, kwanza mimi hatukuwa wapenzi kwa muda mrefu, japo ni kweli yule kaka alimaanisha neno I love u, kama nilivyosema mazingira hayakuruhusu, na tulikuja kupotezana, tumekuja kuonana tena miaka ya hivi karibuni, mimi nikiwa tayari ni mama, hiyo ni ziadi ya miaka 20 iliyopita

Kuna msemo mmoja unasema kuwa "ukiona wapenzi wa zamani wanaendelea kuwasiliana basi jua kuwa hao hawakuachana au bado wanapendana"

Unasemaje hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom