Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

du mimi mara mbili, ila hii ya mwisho, za kuzugia ndio usiseme hizo nimepita mpaka foleni ya ubungo - kimara.
 
Siku hizi akiamua mapepo yatoke yanambishia...."oyaaa,usituzingue na hizo kelele"

Kuna nini kati yako na mshiriki Khantwe



Tena Huyu paroko hatareeee!

Anataka aambiwe anapendwa na huyo msemaji amaanishe hayo maneno!

Ngoja tumuite kwenye kikao jimboni!
 
Last edited by a moderator:
Uwiii! Yani mtu kukosea jina lako tu, unataka kuahamishia mahaba kwake?!!!

Kweli wewe una pepo baya!

Ushindwe!

Ushahidi wa kimazingira umethibitisha kuwa moyo wa mwallu hauna la kusema mbele ya moyo wa mimi babu yenu ODM
 
Last edited by a moderator:
rushwa akupe nani wewe? Rushwa anapewa hakimu, we kazi yako kutumikia kifungo tu.

Raha ilioje Fanya fasta nikale ugali n maharage ya bure
hat sitajitetea kwa maana naenda kwenye usalama nalinda bure
Do it men
 
Tena Huyu paroko hatareeee!

Anataka aambiwe anapendwa na huyo msemaji amaanishe hayo maneno!

Ngoja tumuite kwenye kikao jimboni!

Ni shida....na Eli79 anahitaji maombi pia
 
Last edited by a moderator:
Umenifanya nicheke kwa nguvu babu yangu jamani

Kwa hii sentensi naamini utakuwa umefuta kauli yako ya kutonipenda tena, na kuniogopa. naamini mapenzi yetu yatarudi kama zamani honey wangu mwenye faith kama ya Maria Magdalena.
 
Ushahidi wa kimazingira umethibitisha kuwa moyo wa mwallu hauna la kusema mbele ya moyo wa mimi babu yenu ODM
Mume wangu swahiba ako.....hata Hivyo....moyo wangu una la kusema mbele ya moyo wako.....rudi nyuma shetani.
My wii kwa uchochezi....nlishakuzoea lakini
Wii mie naeleza nlichokiona tu...si vinginevyo
Dada babu kachanganyikiwa huyo!

Huoni maneno yanavyomtoka?!

Anataka kuhamishia mahaba kwa ndugu yetu mwallu

Babu ni shiida...shetani mwenyewe anampigia salute
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom