Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Wewe unamaanisha au?

Unamkumbuka wa kwanza kumuambia hivyo?

Yupo wapi?

inategemea na mtu kutamka sio kumaanisha. kwa nilomuambia nampenda sijui yuko wapi saiv kwa kweli daaaa haya maneno sijui kwa nin yalikuepo
 
Loading error
love pause..
kisses rejected...
i love you corrupt..
lonely arise.inf
system confuse
tumboo installed
...loading...
WAOOOOOH!!!
 
Last edited by a moderator:
Sio dhambi....ila usinisemee....maana yaweza kuwa ndio au sio

Mie kazi yangu kutoa maneno mdomoni nione utayatoa ama vipi..!! Nisamehe miss mwallu, siwezi jua kesho labda nikafall kwako..lol
 
Last edited by a moderator:
Mie kazi yangu kutoa maneno mdomoni nione utayatoa ama vipi..!! Nisamehe miss mwallu, siwezi jua kesho labda nikafall kwako..lol

We haufall kwa mwallu
 
Last edited by a moderator:
Hivi unakumbuka ni mara ngapi umeshawahi kulitamka hilo neno kwenye maisha yako kwenye suala la mapenzi?

Je unamkumbuka wa kwanza uliyemuambia hivyo?

Yupo wapi sasa?


Damn .......
Nikimkumbuka wa kwanza kumuambia hivyo leo ni muke ya mutu na ana watoto .....

Halafu nimeshawahi kulisema kama maraaaaaaaa ......mmmhhhhhhh........ngoja niendelee kukumbuka

Kama mara 6 hivi ........

Wewew je?

Achana na zile za uongo,nataka za ukweli!

Wa kwanza yupo ujerumani ni dk,wa pili ni wa ndoa.wengine za magumashi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom