Nakupenda a.k.a I love you!

Nakupenda a.k.a I love you!

Yan hili neno waga wanaambiwa wasio na mikono ya birika tu...a.k.a wahongaji

Ushawahi kumuambia mtu?
Unamkumbuka wa kwanza kumuambia hili neno?
Unakumbuka alipo?
 
Duh! hata mama Matesha hujawahi kumuambia?

Ah.... mama Matesha, mama yangu na mabinti zangu wawili huwa siwatamkii bali huwa nawafanyia kwa vitendo... Huwa naamini kwenye matendo zaidi, maneno hata vichaa wanayo.
 
Ah.... mama Matesha, mama yangu na mabinti zangu wawili huwa siwatamkii bali huwa nawafanyia kwa vitendo... Huwa naamini kwenye matendo zaidi, maneno hata vichaa wanayo.

Nadhani Khantwe atakuwa amekuelewa sasa ....lol!
 
Last edited by a moderator:
Shangaa na wewe eti lol....hata kwa mama Matesha hajawahi kumaanisha...

Matendo mama. Mama Matesha anatamkiwa kwa vitendo. hapa mnazungumzia maneno ambayo hata wezi wanayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom