ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,676
- 119,990
Ndo ushaanza ......
tartiiib, ndo nimeanza hivyo..!
Ndo ushaanza ......
Kweli honey bora nikae tu ndani maana huku nje full vishawishi
Angalia usije kunianzishia sredi hapa. kwenye kesi kama hii yetu huwa sishindwagi. ikibidi rushwa itatumika.
Mi hantaki, tunatakana. next time u-mention jina langu kwa nidhamu. Adhawaiz ntahamishia mahaba kwako.
Mimi nikuanzishie siredi kabisa.....
Rushwa leta italilika then utachoma mishikaki