REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,961
Speak it out meen
inaweza ikawa haina manufaa bora nibaki na kigugumizi like
i lo lo lo......Kohokoho
Speak it out meen
Nna bahati mbaya sana kumbe...
until now sijawahi kulisema kwa kumaanisha
Hatujaagana, naamini bado upo jirani.
You know what to do ......
Una expres vipi hizi hisia kwa unaejisikia hivyo?
Aisee kwan mtoa mada amesema umeitamka kwa watu wangapi au mara ngapi?
Hivi unakumbuka ni mara ngapi umeshawahi kulitamka hilo neno kwenye maisha yako kwenye suala la mapenzi?
Je unamkumbuka wa kwanza uliyemuambia hivyo?
Yupo wapi sasa?
Damn .......
Nikimkumbuka wa kwanza kumuambia hivyo leo ni muke ya mutu na ana watoto .....
Halafu nimeshawahi kulisema kama maraaaaaaaa ......mmmhhhhhhh........ngoja niendelee kukumbuka
Kama mara 6 hivi ........
Wewew je?
Achana na zile za uongo,nataka za ukweli!
..nini tena jamani..!
vyote ni sawa...umependa Mara nyingi nyingi ndo maana umetamka mara zoteee
Nlidhani mi ndo ntafuata kuambiwa hilo neno sasa nasikia tayari umefika mwisho lol
Ukiacha hii ya kimasihara ya kuwatamkia wahudumu wa bar na hawa vijukuu vya vya JF.... hii makitu sikumbuki kama nimeitamka seriously. ila kwa kuiandika kwenye vikadi na vibarua enzi za utineja, nimeandika sana tu...