Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu

Wakuu habari!

Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto zangu zisitimie maana umri pia unaenda, nimesoma education (science) naelewa ajira zitakuja lakini nataka niweke vyeti kabatini nipambane ajira zitanikuta mbele ya safari huko.

Katika maisha yangu ya kusoma ndoto yangu kubwa ni kufanya biashara ili niweze kujikwamua kiuchumi japo naelewa kwa sisi watoto wa maskini safari ni ndefu saana, nilipokua chuo nimefanikiwa kusave boom langu kwa kujibana saana nimefikisha 1 million. Najua kwa watu wengi hii Pesa ni ndogo na ni matumizi ya week tu au mwezi lakini kwangu ina maana kubwa sana maana naelewa inaenda kunikomboa.

Japo pia naelewa "safari ya maili 1000 uanza na step moja"

Idea yangu kuja kufanya dar ni hipi?

Naelewa Dar ni mji Mkubwa hata mzunguko kwa biashara ni Mkubwa pia, ninayo access ya kupata dagaa wakavu (dagaa kauzu) kutoka gosber kisiwani so idea yangu ni kuleta dagaa huko Dar ninao mtaji wa kuanza na gunia 10. Japo lengo langu kubwa ni kuleta nafaka zote pamoja na mafuta ya alizet though mtaji wangu ni mdogo nataka nijikite kwenye dagaa kwanza then mwangaza wa asubui ukishaonekana basi naweza fungua ofisi kubwa nianze kuleta hivyo vitu.

Nilitaka nifike dar kwanza nifanye research nizunguke kwenye masoko mbali mbali nataka niuze jumla kwa madalali na rejareja NIKIPATA MEZA SOKONI ITAKUA VIZURI (japo sijui nitapataje).

WAKUU KWA SABABU MTAJI WANGU NI MDOGO NA CHANGAMOTO YA DAR NI SEHEMU YA KUKAA NA KUKAA KWA MTU NI NGUMU KUTOKANA NA HALI YA MAISHA YALIVYO (kila mtu anashida zake)

Next week nakuja kufanya research ya maeneo kuongea na madalali na kutafuta eneo langu la kufanya kazi.

Nilikua natafuta chumba sehemu ya kujishikiza (sio kufikia kwa mtu) ambapo mwenye nyumba atanikubalia kulipa kodi ya Mwezi mmoja huku Mimi nikiendelea kufanya research zangu kuhusu hiyo biashara endapo nikipata godoro nitashukuru sana.

Asanteni.

Kitu cha kwanza,ukiona mtu ana kwambia njoo DM achana nae,ata uwa ndoto zako.
 
Mkuu asante sana kwa mda wako Mungu akubariki.

Tokea nimemaliza chuo sikurudi nyumbani nimepata sehemu ya kujishikiza japo posho ni ndogo saana ndio maana nimepata mawazo hayo siko mwanza Niko mkoa ambao mzunguko ni mdogo sana wazo la kwanza lililokuja ni dar.

Mimi sikufikiria kufanya biashara nyingine mfano ya nguo maana process ya kupata wateja kutafuta eneo (ni gharama) pia kuuza nguo inahitaji population kubwa amabayo watu wanapita (ninavyoona Mimi inaweza isiwe sahii) unlike na nafaka,dagaa n.k ambayo ni mahitaji ya kila siku.

Naelewa dar competition ni kubwa pia naelewa hata demand ni kubwa pia, nimekua nikiamini kwamba kwenye kila biashara wapo ma_tycon lakini hainyimi fursa kwa wale wadogo kupata kitu, hata hao wazito kwenye business walianza kidogo kwa malengo mkuu.

Ushauri wako ninauchukua umenifungua na umeongea jambo la muhimu Mimi nilifikiri kwanza kwa sababu mtaji wangu ni mdogo nitafute meza niuze mwenyewe huku naangalia na wale wanaochukua jumla (nitajuana nao endapo nikiwa uwanjani).

Ninayo access ya kua na mtaji Mkubwa lakini sitaki kuingiza woote kwenye biashara nisiyoijua thuswhy nakuja mwenyewe kufanya research nikae nijionee mwenyewe kwanza.

Huo ushauri wako nimeuchukia nitajitahidi nije na gunia mbili mbili ya kila aina/hivyo bidhaa.
Asante kwa kunielewa. Suala la biashara ya nguo ilikuwa ni kukuchalange nione unawaza nin coz binafsi nisinge kushaur ufanye hiyo Kama kuna dagaa. So pambana mkuu. Wenzangu nimeona wamekupa mawazo mazuri. Yote yafanyie Kaz. Utakapo kwama usisite kuuliza hapa hapa. Tutakusaidia
 
Shukrani
 
Kaka nitakusaidia kwa uchache saaana maana Mimi pia nimekuja dar nikitokea kanda ya ziwa mkoa wa Geita, baba yangu pia ni mvuvi wa dagaa ziwa ziwa Victoria upande wa kasamwa butundwe, nitakupa mwongozo na changamoto nilizo kutana nazo Mimi kijana mwenzako. ni PM
Mmhh! Usimgeuze fursa tu
 
Wakuu habari!

Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto zangu zisitimie maana umri pia unaenda, nimesoma education (science) naelewa ajira zitakuja lakini nataka niweke vyeti kabatini nipambane ajira zitanikuta mbele ya safari huko.

Katika maisha yangu ya kusoma ndoto yangu kubwa ni kufanya biashara ili niweze kujikwamua kiuchumi japo naelewa kwa sisi watoto wa maskini safari ni ndefu saana, nilipokua chuo nimefanikiwa kusave boom langu kwa kujibana saana nimefikisha 1 million. Najua kwa watu wengi hii Pesa ni ndogo na ni matumizi ya week tu au mwezi lakini kwangu ina maana kubwa sana maana naelewa inaenda kunikomboa.

Japo pia naelewa "safari ya maili 1000 uanza na step moja"

Idea yangu kuja kufanya dar ni hipi?

Naelewa Dar ni mji Mkubwa hata mzunguko kwa biashara ni Mkubwa pia, ninayo access ya kupata dagaa wakavu (dagaa kauzu) kutoka gosber kisiwani so idea yangu ni kuleta dagaa huko Dar ninao mtaji wa kuanza na gunia 10. Japo lengo langu kubwa ni kuleta nafaka zote pamoja na mafuta ya alizet though mtaji wangu ni mdogo nataka nijikite kwenye dagaa kwanza then mwangaza wa asubui ukishaonekana basi naweza fungua ofisi kubwa nianze kuleta hivyo vitu.

Nilitaka nifike dar kwanza nifanye research nizunguke kwenye masoko mbali mbali nataka niuze jumla kwa madalali na rejareja NIKIPATA MEZA SOKONI ITAKUA VIZURI (japo sijui nitapataje).

WAKUU KWA SABABU MTAJI WANGU NI MDOGO NA CHANGAMOTO YA DAR NI SEHEMU YA KUKAA NA KUKAA KWA MTU NI NGUMU KUTOKANA NA HALI YA MAISHA YALIVYO (kila mtu anashida zake)

Next week nakuja kufanya research ya maeneo kuongea na madalali na kutafuta eneo langu la kufanya kazi.

Nilikua natafuta chumba sehemu ya kujishikiza (sio kufikia kwa mtu) ambapo mwenye nyumba atanikubalia kulipa kodi ya Mwezi mmoja huku Mimi nikiendelea kufanya research zangu kuhusu hiyo biashara endapo nikipata godoro nitashukuru sana.

Asanteni.

Ukifika tafuta shugamami unampa hela kidogo, utalala, utakula na utaogeshwa chumbani na masoko yote utatembezwa.
 
Umeshasema asimuamin mtu.
Aise acha tu, hata hao wanaokaa hiyo nyumba nao wamesema hatumuamini.

But huku shamba kuna nyumba za nje unaweza ishi tena fresh tu, sema ni just 4 kilometers from njia kuu hii ya morogoro.

Hapa utaishi dogo vyumba vya nje huko. Hope kwa kufikia panatosha. Utalipa kodi
 
Kaka nitakusaidia kwa uchache saaana maana Mimi pia nimekuja dar nikitokea kanda ya ziwa mkoa wa Geita, baba yangu pia ni mvuvi wa dagaa ziwa ziwa Victoria upande wa kasamwa butundwe, nitakupa mwongozo na changamoto nilizo kutana nazo Mimi kijana mwenzako. ni PM
Anaweza kunifanyia kitini cha dagaa wabichi kwa elfu 5 nihamie huko nikaanze biashara?
 
Wakuu habari!

Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto zangu zisitimie maana umri pia unaenda, nimesoma education (science) naelewa ajira zitakuja lakini nataka niweke vyeti kabatini nipambane ajira zitanikuta mbele ya safari huko.

Katika maisha yangu ya kusoma ndoto yangu kubwa ni kufanya biashara ili niweze kujikwamua kiuchumi japo naelewa kwa sisi watoto wa maskini safari ni ndefu saana, nilipokua chuo nimefanikiwa kusave boom langu kwa kujibana saana nimefikisha 1 million. Najua kwa watu wengi hii Pesa ni ndogo na ni matumizi ya week tu au mwezi lakini kwangu ina maana kubwa sana maana naelewa inaenda kunikomboa.

Japo pia naelewa "safari ya maili 1000 uanza na step moja"

Idea yangu kuja kufanya dar ni hipi?

Naelewa Dar ni mji Mkubwa hata mzunguko kwa biashara ni Mkubwa pia, ninayo access ya kupata dagaa wakavu (dagaa kauzu) kutoka gosber kisiwani so idea yangu ni kuleta dagaa huko Dar ninao mtaji wa kuanza na gunia 10. Japo lengo langu kubwa ni kuleta nafaka zote pamoja na mafuta ya alizet though mtaji wangu ni mdogo nataka nijikite kwenye dagaa kwanza then mwangaza wa asubui ukishaonekana basi naweza fungua ofisi kubwa nianze kuleta hivyo vitu.

Nilitaka nifike dar kwanza nifanye research nizunguke kwenye masoko mbali mbali nataka niuze jumla kwa madalali na rejareja NIKIPATA MEZA SOKONI ITAKUA VIZURI (japo sijui nitapataje).

WAKUU KWA SABABU MTAJI WANGU NI MDOGO NA CHANGAMOTO YA DAR NI SEHEMU YA KUKAA NA KUKAA KWA MTU NI NGUMU KUTOKANA NA HALI YA MAISHA YALIVYO (kila mtu anashida zake)

Next week nakuja kufanya research ya maeneo kuongea na madalali na kutafuta eneo langu la kufanya kazi.

Nilikua natafuta chumba sehemu ya kujishikiza (sio kufikia kwa mtu) ambapo mwenye nyumba atanikubalia kulipa kodi ya Mwezi mmoja huku Mimi nikiendelea kufanya research zangu kuhusu hiyo biashara endapo nikipata godoro nitashukuru sana.

Asanteni.

UPDATE

Wakuu nimefanikiwa kuingia jijini dar as salaam Nina kama week mbili hivi nimefikia kwa rafiki yangu kibaha...
Kama nilivyokua nimeeleza hapo awali niliingia kutafuta masoko ya Dagaa, nimefanikiwa kuzunguka masoko yoote makubwa hapa kuanzia mabibo, tandale Sokoni , stereo temeke, tandika pamoja na mbagala n.k

Changamoto

Changamoto kubwa nilioipata huku ni kwamba wafanyabiashara wa huku wengi wanachukulia Mzigo yao huko visiwani option pekee iliyokuepo ni kutafuta meza na Mimi pia kuuza kwa jumla na rejareja.
Sio rahisi maana pale mabibo walinambia nilipie meza kodi 70,000 per month na wanahitaji miezi 3, kule ilala sokoni meza zinafika mpaka laki moja kwa mwezi nikaangalia ujazo wangu(mtaji wangu) nikaona hapa sitatoboa.

Katika harakati za kuzunguka zunguka huku nikijiandaa kurudi home nikazunguka pale tandale Sokoni nikapata wazo jipya kuhusu biashara ya nafaka.

Japo mtaji wangu ni mdogo lakini pale sihitaji meza, wala mizani n.k na wazo nililolipata ni kuhusu biashara ya Mchele kwamba unachukua mashambani then unawapa madalali wanakuzia wanakupa hela (wanakuuzia)..

Japo faida yake ni ndogo nikaona sio busara kwanza kukimbia mji nifanye kujishikiza hapo nione.....waku kwa ground mambo sio mepesi kihivyo haswa kwa sisi graduate ambao hatuna mitaji sometimes unafikiri kukata tamaa lakini unajiuliza hata ukikata tamaa unamkatia nani?...

Let say umenunua mzigo mbeya kwa 1300 plans zako unafikiri uuze 1600/1700 hata urudishe mtaji wako ukifika Sokoni unakuta watu wanakwambia huu tunakupa 1400 tu so inakua ni changamoto.

Kwa sababu ya mtaji ni mdogo issue ninayoifanya ni delivery nimechukua mzigo ambao sio super saana bei yake ni moderate tu.
View attachment 1996219

Kwa ambaye anahitaji Mchele kutoka mbeya kwa bei ya 1800 around dsm nitafikisha popote pale pia maongezi yapo kwa atakaechukua nyingi.
Unaweza nitext normal au WhatsApp kwa 0757590836

Asanteni
Njoo na Shanga
 
Achimwene wa Makete usiwe mpumbavu,sihitaji Mlinzi maana pale site hakuna kitu kinachoweza kuibiwa,lakini kama kuna mhitaji anayetaka kujibanza panafaa,na usafiri wa kufika Tegeta Kibaoni ni rahisi
usijidanganye !! hako kanyumba kataibiwa koote mabati matofali na kiwanja kitapandwa miti mingi ghafla ukija hutaamini macho yako!!....utamkuta dalali anakiuza!! utaanza hee kulikoni....kesi inaanza upyaaa!
 
Back
Top Bottom