Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 8,170
- 11,572
Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k. hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine, kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha.
Haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine, lahasha, itakuchukua zaidi ya wiki moja kuielewa dar ni ya tofauti sana na kwingineko 🐒
Sasa ni rasmi narudi nyumbani, kwa baba na mama. Asante sana wana dar es Salaam kwa ukarimu wenu, nimeishi vizuri sana nanyi na sasa naenda kuchangamana karibu zaidi na ndugu zangu, jamaa zangu marafiki zangu na wanainchi wangu huko nyumbani, mkoani kwa baba na mama mzazi.
Kwa muda mrefu nimekua nikiishi dar es salaam zaidi ya eneo ninalo paswa kuwako muda wote. Sasa ni rasmi, narudi nyumbani na nitakuwako huo 24/7 nyumbani , ofisini na field, nyote mnakaribishwa. Kunako majaaliwa baada ya 2025, Tutaonana tena wana dar es salaama.. 🐒
Thank you Dar es Salaam..