Habari wanajamvi,
Mimi ni mtoto wa kimaskini niliekulia kwenye umaskini, mwaka 2023 mwezi wa kwanza nilibahatika kufika Dar es salaam kwa mara ya kwanza mimi professional yangu ni SOFTWARE engineer natengeneza app za simu na website basi mwaka jana mwanzoni nilipata bahati ya kuja kumtembelea mjomba wangu aishiye jijini Dar es salaam, kwa uwezo na kudra za mwenyezi mungu nikabahatika kupata deal lililoniingizia Million 40 kwa sasa nimepanga chumba cha 50k lakini nawaza hii million 40 nifanye biashara gani hapa DSM ili na mimi niweze kufanikiwa, naombeni ushauri ndugu zangu