Acha kuongea kitu kwa sababu ya mihemko ya kishamba.I can assure you no one is inspired kama yupo m-tag hapa tuone , ulichofanikiwa kupata mpaka sasa ni watu wanaokuona kama mwehu tu. Lakini pia hiki unachokiita affirmations ni show off tu.
Namsubiri huyo mtu aliyekuwa inspired
Matt na Ben Affleck waliitendea kaziBonge la movie 🎥
Nitaachaje wakati wewe ndio umeni-inspire?Acha kuongea kitu kwa sababu ya mihemko ya kishamba.
Acha kujipendekeza kwenye mambo yangu, mimi na wewe "hatuwezi kuendelea kwenye mambo yangu"If hujawa inspired pita kushoto na tuendelee na mambo yako.
Hata siwajui producers ila, nilipenda kuona how malezi yanaweza kumfanya mtu akaji deny yeye mwenyewe..Matt na Ben Affleck waliitendea kazi
Ukiachana na Jason Bourne
Hii ni movie pendwa kwangu kutoka kwa Matt
I can relate to it Somehow maisha yangu binafsi .
Boya nini? Mimi nimekwambia lengo la uzi unataka nianze kutafuta mtu, kwani mimi ni kazi yangu hiyo?Nitaachaje wakati wewe ndio umeni-inspire?
Acha kujipendekeza kwenye mambo yangu, mimi na wewe "hatuwezi kuendelea kwenye mambo yangu"
Umesema una-inspire watu, nimekwambia taja mtu mmoja aliyekuwa inspired unaanza kutikitikisa kalio huku unang'ata ng'ata kucha maana yake nini sasa
Ndiyo umesema ni kazi yakoBoya nini? Mimi nimekwambia lengo la uzi unataka nianze kutafuta mtu, kwani mimi ni kazi yangu hiyo?
Threads zako ndo upande wa kushoto hapa JFAcha kuwa ndezi kama huna cha kuongea pita kushoto
Kaza hakuna kinachoshindikanaShukran bwashee
Huna cha maana ulicho andika
Ni eye opening psychological movie .Hata siwajui producers ila, nilipenda kuona how malezi yanaweza kumfanya mtu akaji deny yeye mwenyewe..
Will, alikuja kuambiwa na yule bro wake kuwa... Kuna muda Natamani siku nije kukuijia na nikuite umesha sepa zako, yaani umesha acha kunitegemea)
Lakini pia ile love hate dynamic na yule manzi wa kishua ilikuwa the most catching scene
View attachment 3666650