Anakera sana huyu dogo na tunamsaidia lakini bado analeta ujuaji wake. Kifupi ana shida na makuzi ya utotoni yalikuwa inonekana alikuwa anaona au amepitia kufanywa kituko na ndio ile picha ana I present humu.Wewe unafahamu kila kitu, una uzoefu wa maisha kuliko wengine, hutaki kusikiliza ushauri wa wengine na unajisifu sana..
Hutaki kupingwa , unabishana kuonekana upo sahihi wakati wote...
Ni vigimu kwako kukubali hufahamu kitu flani na ukubali ukajifunza...
Nikuambie tu hizo ni sifa zako... kwa hizo sifa jumlisha na uropokaji wa plans zako na goals, I bet , hufiki popote ndugu...
Maana unachofanya hapa ndicho kina reflect nje ya jf...
Nakera?Anakera sana huyu dogo na tunamsaidia lakini bado analeta ujuaji wake. Kifupi ana shida na makuzi ya utotoni yalikuwa inonekana alikuwa anaona au amepitia kufanywa kituko na ndio ile picha ana I present humu.
Endeleeni kumsaidia mkuu..Anakera sana huyu dogo na tunamsaidia lakini bado analeta ujuaji wake. Kifupi ana shida na makuzi ya utotoni yalikuwa inonekana alikuwa anaona au amepitia kufanywa kituko na ndio ile picha ana I present humu.
Tusimkatie tamaa sote aisee , yupo kwenye hali mbaya ili kumsaidia asipotee kabisa tuendelee kumwambia. Maana huenda akapata suluhisho la changamoto zake.Endeleeni kumsaidia mkuu..
Msimkatie tamaa..
Hata mods wanafahamu una tatizo ndio maana kila muda wanakulamba ban...Ni msaada gani ambao unaongelea mkuu?
Huu huu wa kujaribu kunishusha chini na kejeli? Au?
Mods wananifahamu?Hata mods wanafahamu una tatizo ndio maana kila muda wanakulamba ban...
Utasema mod nao wanakuonea wivu? Kwa kipi?
Wewe ni binadamu na lazima kuna madhaifu au mapungufu yapo na watu wanayaona. Sasa wewe unajiona ni Mr Perfect na hutaki ushauri au mawazo ya wenzako wewe uko timamu kweli ?Ni msaada gani ambao unaongelea mkuu?
Huu huu wa kujaribu kunishusha chini na kejeli? Au?
Tatizo la afya ya akili ni real...Tusimkatie tamaa sote aisee , yupo kwenye hali mbaya ili kumsaidia asipotee kabisa tuendelee kumwambia. Maana huenda akapata suluhisho la changamoto zake.
It is who I am..Wewe ni binadamu na lazima kuna madhaifu au mapungufu yapo na watu wanayaona. Sasa wewe unajiona ni Mr Perfect na hutaki ushauri au mawazo ya wenzako wewe uko timamu kweli ?
Huyo Donald Trump pamoja na nguvu na Mamlaka aliyonayo anakosolewa . Wewe ni nani ?
Kama upo Perfect sana basi usiwe unaandika nyuzi zako ambazo unataka usifiwe ili uendelee kupotea, watu wanakuambia uhalisia wa mambo wewe unataka maneno matamu na rahisi. Upo timamu kweli wewe ?
Watu wanakujali kwa kukwambia Mane o machungu ili upate afya.
Krolokwin, flagly ni dawa chungu sana lakini ukinywa homa na kuhara kunakata.
Watu wa vijijini huwa wanakunywa Mwarobaini ambao ni mchungu kwelikweli na wanapona kabisa.
Humu hakuna maneno ya kukusifia na kukuremba tunataka upone hizo trauma zako.
Tupo pamoja na tutaendelea kukuambia kama utachukia na kutudharau ni hiari yako hii ni kazi tutaifanya tunapokuwa tuna muda.
Maigizo na drama huo ni upotevu Kijana
Sisi hatumsaidii huyu chizi bali tunarekebisha tu ili hawa vijana wengine wasije wakaiga huu ukichaa wakifikiri ndio njia sahihi,mleta mada msaada uliobaki kwake ni kumpatia tu usafiri wa kumfikisha Mirembe Dodoma.Wadau tumsaidie huyu Kijana
Unaji dhatiti sana, ila nilishakwambia all you're doing is elevating me instead of pulling me downSisi hatumsaidii huyu chizi bali tunarekebisha tu ili hawa vijana wengine wasije wakaiga huu ukichaa wakifikiri ndio njia sahihi,mleta mada msaada uliobaki kwake ni kumpatia tu usafiri wa kumfikisha Mirembe Dodoma.
Lengo la kuanzisha huu uzi ni lipi haswaaSija omba msaada, kwani nimeandika sehemu nataka msaada?
no one is inspired kama yupo m-tag hapa tuone , ulichofanikiwa kupata mpaka sasa ni watu wanaokuona kama mwehu tu. Lakini pia hiki unachokiita affirmations ni show off tu.Lengo ni kusema au kuweka wazi affirmation zangu na ku inspire wengine
Goodwill HuntingNdugu zangu..
Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu..
I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho.
I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu..
Ipo siku Nitakuja humu kuwakumbusheni yaha maneno. Sio kwa ubaya ila nataka mujionee how Good the lord is..
If he chooses you, he will hide you in plain sight until it's your time to shine.
I once said by mwaka 2040 Nitakuwa mtu maarufu duniani.. Ni kweli kabisa, hii ni vision niliyo iona since I was a bitty little boy.
Naomba niwakumbushe tu wale wenye malengo makubwa na wwameoneshwa na Mungu wazidi kuamini, maana it must come to pass.
View attachment 3666450