Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

Huu uzi ni wa mtu aliyekata tamaa ya maisha na kukosa dira kabisa,ila akaamua tu kujifariji kama vile miujiza itatokea kwa kuwaza tu!

Wenye malengo hua hawapayuki hovyo,wala hawajipangi kuja kumkomesha mtu au kumprove wrong mtu,
Wakubwa tu na wataalamu wa saikolojia ya Binadamu ndio tutauelewa huu uzi au kumjua mleta mada ni mtu wa aina gani,

Toka mwanzo kabisa nilimueleza mleta mada matatizo aliyo nayo ila kwa sasa hivi naona wana JF wengi pia wameshaliona tatizo la mleta mada,

Dont tell people your plans,show them your results.
 
Mbaya zaidi yeye mwenyewe hajui kama yupo katika hali mbaya kiasi hicho
 
Kila la heri mkuu
 
Je, uko katika maisha yangu ujue dira yangu?

Mbona unaandika kijbe alafu unataka kukipaka intellectualism?

Saikolojia gani unayoijua wewe? Acha nongwa na kuleta energy hasi ukidhani utamdhoofisha mtu hapa
 
Hujishangai unabishana na Forums? unabishana na kila mtu? JF kuna watu wa kila aina,kuna wataalamu wa kila aina humu,watakujua kwa kusoma maandishi yako tu,

Tatizo lako kumbe ni kubwa zaidi hata ya nilivyokua nikidhani!
 
Kipindi nataka kuingia kwenye MZIKI nilijua nikuingia studio na record na shoot over kumbe mambo hayako hivo
 
Ubishi na ujuaji hutokufikisha popote..

Endelea kuandika goals zako na plans zako jf....
Tunamuambia kiume analeta ujuaji, Diamond Platnumz naye alikuwa na ndoto za kuwa tajiri namba moja duniani.

Kulipa mishahara ya Wafanyakazi wa radio station tu ni mbinde mpaka wanaacha kazi na kukimbia.

Kukulia kwenye familia zenye migogoro ya wazazi halafu baadaye ukawa na uhuru binafsi huwa kunawachanganya sana vijana
 
Ujuaji?
Kuna ujuaji gani hapo mkuu?
Wewe unafahamu kila kitu, una uzoefu wa maisha kuliko wengine, hutaki kusikiliza ushauri wa wengine na unajisifu sana..

Hutaki kupingwa , unabishana kuonekana upo sahihi wakati wote...

Ni vigimu kwako kukubali hufahamu kitu flani na ukubali ukajifunza...

Nikuambie tu hizo ni sifa zako... kwa hizo sifa jumlisha na uropokaji wa plans zako na goals, I bet , hufiki popote ndugu...

Maana unachofanya hapa ndicho kina reflect nje ya jf...
 
Hujishangai unabishana na Forums? unabishana na kila mtu? JF kuna watu wa kila aina,kuna wataalamu wa kila aina humu,watakujua kwa kusoma maandishi yako tu,

Tatizo lako kumbe ni kubwa zaidi hata ya nilivyokua nikidhani!
Amefikia kwenye denial stage...
Hii hatua ni kama pale mtu ni mlevi, au teja, lakini anapoambiwa kuhusu uhalisia anaona yeye yupo sahihi na wanaomshauri ni wachawi... yeye ni mjanja na anafahamu anachofanya...
 
Ndo mmekaa mnapashana habari? Y'all keep talking about the GOAT in the making
 
Amefikia kwenye denial stage...
Hii hatua ni kama pale mtu ni mlevi, au teja, lakini anapoambiwa kuhusu uhalisia anaona yeye yupo sahihi na wanaomshauri ni wachawi... yeye ni mjanja na anafahamu anachofanya...
Nimekataa nini?
Na ni ushauri gani mlio toa kama sio nongwa binafsi?
 
Mbona huwa mnapenda kuwa weka watu kwenye mabox kisa wanasimamia wanacho amini?

Kwa hiyo ukikosa namna bora ya kutetea hoja yako unaishia kumsema mtu mjuaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…