Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Mwenza huwa siyo sura, fedha wala nini !!
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Na huwa napenda kabla sijamuomba game huwa naandaa masingira toka asubuhi utani wa hapa na pale, hata kumuogesha ,kumsifia hata kwa kinafiki sasa jioni nahisi ni kusukuma tu kama mlevi LAKINI utaskia oooh kiuno chauma,ooh sjui nini subir kidogo nipukzk dk chache ohhh blabla kibao. Akilala ni fofofo mpaka asbuh. Saa 1:30 usiku tu usingizi mororo. Namimi nikiona hivyo,natoka kupombekaaa. Nimepanga kuchepuka

Sababu??Upo kwenye Depression kubwa!
Acha kumdekeza huyo mwanamke, wakati mwingine ndoa bila ubepari lazima ikushinde inawezekana ulimchekelea mwanzoni.Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Pole sna...Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA

Mkuu umesema ukweli.Hizo dalili uliziona hata kabla hujamuoa ila ukajifanya utamvumilia, MKUU hapo hakuna biashara tena jichunguze kama kuna aina ya kero yoyote unaisababisha kama hakuna piga chini maisha bado matamu huku nje.
Hata mm naona hyo kesi ni ndogo sana.Unamfananisha na nani ambaye yuko tofauti na huyo?kwani ulishawahi kuishi na mwingine ukaona kuna tofauti?au unapewa ushauri na walioshindikana kwahiyo unahisi huyo wako ana kasoro?Nenda nae taratibu,tafuta wakubwa waliomzidi wamuelekeze jinsi ya kuishi na mwanaume kwenye ndoa,kinyume cha hapo sioni uharibifu mkubwa bado anarekebishika huyo...
Hapana mkuu huwa niko vizuri sana hapo. Huwa namuandaa toka nikiwa kazini na hata kwa SMS ila anajibu short saaaana. Najaribu kurudi hata na vitu vidogo dogo lakini hata ile ku appreciate hakuna. Anasema huwa anafurah Seema haniambii. Mbona mtoto ananishukuru waaao baba nakupenda hata baba si unanipendae!!!nasema ndio mwanangu ananirukia.!! Kwanii asijufunze hata kwa huyu dogo. Kiukwel dogo ndo ananifariji
Muulize kama wewe ni kaka yake au mjomba wake.Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Muda mwingine kabila pia ni sababu mm naamini.Mkiambiwa oa kabila lako mnasema mapenzi hayaangalii kabila. Ona sasa unavyopelekeshwa..
Jitahidi uwe unampiga hata mara mbili kwa mwezi, ndio wanatakaga.
Dawa ya moto ni ......... Nngekuwa mm, kitambo nshachukua uamz. Nagonga kitaa, nkirudi namsalimia kimoyomoyo nalala kimya kimya.michepuko inaletaga balance kwenye ndoa
Kwa mtu ambae hayajamkuta atakubeza lakini Mimi yalishanikuta hayo nikabembeleza tukashirikisha wazazi,tukaenda Hadi kwenye mabalaza ya usuluhisho lakini wapi mwanamke akibadilika huwezi kumnyoosha tena nilipiga sana makofi lakini wapi nikaja kugundua kuwa alidanganywa na makundu kunifanyia madawa ya kienyeji akahisi tayari ameniwin kwakweli nilikuwa na stress sana sikupenda kumuacha na watoto wangu lakini ilifika mwisho nikafanya maamuzi ya kumuacha saiz Nina Amani moyoni mwangu Hawa watu kaka wanakera sana alafu huwa wanabadilika wakishapata mtoto tu,Mwanzo munaishi vizuriii kabisa mzalishe sasa utashangaa anabadilikaTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
tunavumilia mengi mkuu! wakongwe hatuna la kusema hapo. jiandae kuomba maji ya kuoga ujibiwe 'yako stoo kwenye ndoo'. au ukiomba chakula uelekezwe kwa mguu au uambiwe 'huna mikono? sufuria na mkaa vile pale'
ndoa zilikuwaza za miaka ya mababu. lakini ikikufikia hii na hauna wazazi au madada zako wakusaidie kumkanya, jiandae kujifia kwa presha, kisukari, athma, vidonda vya tumbo n.k kama Mohammed Moris wa Misri.
tulipoambiwa kua uyaone, hawakumaanisha maghorofa; ni pamoja na haya. vumilia tu mkuu japo baridi la Makambako sio la kitoto.
farijika na Makassy Junior/Ali Zolo
Mkuu najitahd kukuDM kidogoMkuu ze best solution Ni kutafta Kabinti kazuri kwa gharama yeyote ile alaf anza kuinjoy nako na jitahidi muwe mnatumiana meseji na uwe unaacha siku bila kuilok na jitahidi Mkeo ashike simu siku 1 aone meseji nzuri nzuri za huyo mwenzie Basi hapo atawaka moto kwa hasira alaf mtagombana kidogo, badae mkipatana atakuuliza huwa hupati nini kwangu mpaka unatoka nje we mwbie hauko romantik,una ubabe mwingi na mzigo sometime unaninyima basi,atapoa mwenyewe na kuanzia siku hiyo atakupa mzigo Kama dawa kwa siku Mara 3 hivyo wewe msugue hasa na umuoneshe na mhakikishie kuwa Sasa amebadilika na wewe unampenda na hutamsaliti hapo kazi itakuwa imeisha.Fanya hizo hatua fasta anza Leo kutafta.Unaweza ni PM nikushauri zaidi,Mimi ni mzoefu wa ndoa bro
Mkuu kuna wanawake jeuri duniani usiombe ukutane nao. Mdogo huambiwa na mkewe leo sijisikii kusex. Na hagusi. Lakini mwanamke ashapanga ratiba na mchepuko. Aliwahi ambiwa nina mimba ila siyo yako, kumwuliza ya nani akajibu ya mwanaume. Na vituko vingine kibao.JF kuna mambo.
Eti mke anakuletea matukio.
Ingekua mimi angekua ananiona nikija kubadili nguo asubuhi.
Kama ndani ya wiki hajabadilika. Nabadili mwingine.
Watu wanabadilisha timu kutoka upenzi na Simba kuja Yanga. Wewe mwanamke anakuringia????
Mwanamke???? Siamini