#bujibuji nimekumiss😘Hata kinyonga hubadilika kutokana na mazingira aliyopo. Kuna mazingira umeyatengeneza wewe yamepelekea awe hivyo.
Umetupa mabaya yake, , ya kwako hujatupa.
Unatulazimisha tujadili u kanda maalum wake, nahisi kabila lake Mkurya. Tangu kabla hujaoa hukujua kuwa ni Mkurya? Mbona wakura watu poa sana wenye adabu na heshima zote?
Unasema uko Makambako 7unajifunika shuka, je haya ni majira ya kujifunika shuka Makambako, ?
Nadhani uko kwenye Makambako ya bongo muvi ............
Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa BASHITE ndio uwape hiyo story yako.
Nipo kwa ajili yako the most beautiful lady♥#bujibuji nimekumiss😘
pole bro...ndo ukweli huoHadi nimetoa chozi
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!

ExcellentHata kinyonga hubadilika kutokana na mazingira aliyopo. Kuna mazingira umeyatengeneza wewe yamepelekea awe hivyo.
Umetupa mabaya yake, , ya kwako hujatupa.
Unatulazimisha tujadili u kanda maalum wake, nahisi kabila lake Mkurya. Tangu kabla hujaoa hukujua kuwa ni Mkurya? Mbona wakura watu poa sana wenye adabu na heshima zote?
Unasema uko Makambako 7unajifunika shuka, je haya ni majira ya kujifunika shuka Makambako, ?
Nadhani uko kwenye Makambako ya bongo muvi ............
Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa BASHITE ndio uwape hiyo story yako.
Ww ni mwanaune hao walitoka ubavuni Acha kuwa falaTupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Muache asikupasue kichwa me nilioa mke ndani ya siku 7 nikamuacha.Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Mdogo wako nae yuko makambako?Nahisi wewe ni mdogo wangu na kama sio wewe basi itakuwa story zenu zinafanana yaani mkewe yuko hivyo hivyo mpaka jamaa anatamani kumwachia kila kitu ahame mkoa au nchi kabisa!
😁😁😁 uzuri wa mwanamke akishaanza kupigwa nje anakuja na tabia za visaDawa ya moto ni ......... Nngekuwa mm, kitambo nshachukua uamz. Nagonga kitaa, nkirudi namsalimia kimoyomoyo nalala kimya kimya.
Huyu atakuwa kashapata buzi mtaani linamkuna wakat wa mchana. Ndo maana jamaa akifka yeye hana njaa.
Labd ndipo nlipokosea skumaanish hilo
Kwenye maisha yako jiepushe sana na kuhukumu kwa kusikiliza kesi upande mmoja.
Story ya mshikaji ina uwongo mwingi ndani yake.
Mkuu unaomba ushauri bila kutaja sababu mkuu?Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA