Najuta kuoa

Najuta kuoa

Bila shaka hata ww kutakuwa kuna sehemu una shida jichunguze vizuri yy akilala na jinsi ww unalala na nini?yaweza kuwa ww ni miongoni mwa wale watu wanaopalamia mke utafikiri unabaka mwisho unamuacha mwenzako na majeraha ya kujiuguza kila jambo lina sababu za kutokea usihukumu tu
Hapana mkuu huwa niko vizuri sana hapo. Huwa namuandaa toka nikiwa kazini na hata kwa SMS ila anajibu short saaaana. Najaribu kurudi hata na vitu vidogo dogo lakini hata ile ku appreciate hakuna. Anasema huwa anafurah Seema haniambii. Mbona mtoto ananishukuru waaao baba nakupenda hata baba si unanipendae!!!nasema ndio mwanangu ananirukia.!! Kwanii asijufunze hata kwa huyu dogo. Kiukwel dogo ndo ananifariji
 
Mkiambiwa oa kabila lako mnasema mapenzi hayaangalii kabila. Ona sasa unavyopelekeshwa..

Jitahidi uwe unampiga hata mara mbili kwa mwezi, ndio wanatakaga.
 
Fumua kichwa na makofi,zibua kichwa na makofi ya masikio mwezi mzima sometimes mwanaume ni mahasira na roho ya msimamo....

Wewe rudi nyumbani akianza tu ujinga mwambie nimechoka sikati ujinga akiongea simama fumua bonge la kofi la sikio,ondoka zako rudi badae akianza ujinga wewe piga tu itafika kipindi atachoka ujinga wa kupigwa hovyo ataacha kufanya ujinga halafu tafuta mwanamke mwingine wa kufanya nae ngono...

Mi huyu mpenzi wangu nageukaga na muangalia jicho la kikatili moja kubwa anajua kbs huyu Fara atanimeza anakaa kimyaaa...
 
Ndoa inataka ujasiri sana,pambana kutafuta hela zaidi pia usimpatilize akilala mzungu wa nne poa tu,akigoma kufungua mlango lala nnje itafika kipindi ataona umuhimu wako atatulia tu
 
Wachache sana tunao weza hivi
Ndoa inataka ujasiri sana,pambana kutafuta hela zaidi pia usimpatilize akilala mzungu wa nne poa tu,akigoma kufungua mlango lala nnje itafika kipindi ataona umuhimu wako atatulia tu
 
Ondoka, potea umwache peke yake kama mwaka 1 hivi atakutafuta mwenyewe kwa adabu kabisa
Eti wana mtoto mmoja. Wakati wa morning glory mwanamke amevaa jinz. Kuna kitu kitamu kuliko morning glory kweli?
 
Hata kinyonga hubadilika kutokana na mazingira aliyopo. Kuna mazingira umeyatengeneza wewe yamepelekea awe hivyo.
Umetupa mabaya yake, , ya kwako hujatupa.
Unatulazimisha tujadili u kanda maalum wake, nahisi kabila lake Mkurya. Tangu kabla hujaoa hukujua kuwa ni Mkurya? Mbona wakura watu poa sana wenye adabu na heshima zote?
Unasema uko Makambako 7unajifunika shuka, je haya ni majira ya kujifunika shuka Makambako, ?

Nadhani uko kwenye Makambako ya bongo muvi ............

Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa BASHITE ndio uwape hiyo story yako.


Niko verty interesting na hapo kwenye maombi................... basi huyo hana jipya
 
Mkuu, kwa hiyo wewe hadi umecheka maana unafurahia magumu anayopitia huyu jamaa? Au kucheka kwako kuna maana gani? Sijaelewa!!!
Apambane tu maana pia kuna wanawake wanapitia magumu zaidi ya hayo kutoka kwa waume zao na jamii inaona kawaida ila hayo magumu wakipitia wanaume kutoka kwa wake zao jamii inataka tuwasikitikie

Binafsi namshauri aendelee tu na mke wake amuombee abadilike asiwaze kuchepuka, kumuacha wala kuoa mke mwingine yaani avumilie tu ili aone kama kuvumilia maovu ya mwenza wa ndoa kila siku ni kitu rahisi kama tunavyowashaurigi wanawake wavumilie maovu ya waume zao kila siku
 
mkuu hilo ni tatizo kubwa na usipolipatia ufumbuzi maridhawa linaweza kukuharibia maisha yako, kwa hapa hatuwezi kukusaidia kwa 100% maana hilo swala lazima ulichimbue ujue mwanzo wake na ikiwezekana mlengwa nae ashirikishwe aeleze kadri ya anavyojisikia ili igundulike shida ilianzia wapi, na hapo ndo watu wanaweza kukushauri na ka ni kuombana msamaha muombane ili muweze kuyafurahia maisha

But sikwachi mtupu. tafuta siku upo free wewe na mwenza wako mpate kutoka ama kuwa mazingira mazuri ujaribu kukaa na mwenza wako umuulize kwa upole na unyenyekevu kwanini anafanya hayo hayoo na umpe uhuru wa kujieleza pasipo kumkatisha kwa jambo lolote, pia usimpinge mwache aeleze hisia zake, baada ya kugungua shida iko wapi ndo unaweza jua ufanyenini ili kurudisha furaha ambayo ilikufanya ukamuoa.

NAKUTAKIA MAFANIKIO KATIKA HILO
 
Aya mambo ndio yananifany niendeleh kusubir kupata mtu sahii
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.

WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
 
Yaani huyo mwanamke anamchora tu mshikaji anamuona punguani kabisa majibu gani hayo bado niwe naye aisee nahama mazima sitasikia cha nani wala sijui nani.
Siyo vizuri mvumilie tu mkeo
 
Na huwa napenda kabla sijamuomba game huwa naandaa masingira toka asubuhi utani wa hapa na pale, hata kumuogesha ,kumsifia hata kwa kinafiki sasa jioni nahisi ni kusukuma tu kama mlevi LAKINI utaskia oooh kiuno chauma,ooh sjui nini subir kidogo nipukzk dk chache ohhh blabla kibao. Akilala ni fofofo mpaka asbuh. Saa 1:30 usiku tu usingizi mororo. Namimi nikiona hivyo,natoka kupombekaaa. Nimepanga kuchepuka
Hiyo ya kusema subiri nilale kidogo hata huyu ndugu yake hapa anaipenda sana,jinga sana hizi viumbe.
Baadae unasikia kroo kroo.
Afu huyu wangu,nikimkosea kidogo basi adhabu yangu ni kunyimwa mbunye,sijui nani kamfundisha hii adhabu huku akijua mbunye zipo kibao mtaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom