Najuta kuoa

Najuta kuoa

Kumbuka huyo ni mkeo.hivyo cha msingi wewe mpe huduma zote tena kwa moyo.na mtendee vitu vyote kama kipind mnaanza mahusiano kasoro kwenye tendo maana hataki.kuhusu tendo jiongeze mtaan ila kwa siri ..baada ya muda atajifikiria kuwa anafanya ujinga
 
Ndoa inaanza pale ambapo ulimshawishi awe na wewe kwenye mahusiano,
Japo umetupa mapungufu yake tu ila mapungufu yako hatujayapata, Lakini Mkuu tambua kuwa mwanamke unayeingia naye kwenye mahusiano kwa lengo la kumuoa anahitaji apewe majaribuo mengo na sio kuitana BABY, na watu wengi tunaharibu ndoa zetu kipindi cha uchumba, yaani kipindi cha uchumba ulikua unaishi naye maisha ya mtindo huu na baada ya kumuoa unataka muishi mtindo mwingine (hapa ndy tatizo linapoanzia). Mabadiliko mara zote ni lazima yanapelelekea matatizo.
Ninachokushauri jaribu kukumbuka kipindi cha uchumba ulikua unafanyaje na ukikumbuka rudia yaleyale uliokua unayafanya maana pale ndy wakati ws KUTENGENEZA NDOA yenu.
Kama uliitengeneza kwa wewe kuwa chini na yeye kuwa juu basi usibadilishe wewe endelea kuwa chini.
 
ukiachana na yote hayo uliyoongea huko mwanzo mimi hapo mwishoni ndo pamenimaliza kabisa yaani hapo uliposema alikujibu kuwa huwa anashukuru kimoyomoyo ndo pamefunga kazi nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu alfajiri yote hii aise hilo jibu la mkeo limeifanya siku yangu ianze vizuri
Unafuraaaaahi?????
 
Na huwa napenda kabla sijamuomba game huwa naandaa masingira toka asubuhi utani wa hapa na pale, hata kumuogesha ,kumsifia hata kwa kinafiki sasa jioni nahisi ni kusukuma tu kama mlevi LAKINI utaskia oooh kiuno chauma,ooh sjui nini subir kidogo nipukzk dk chache ohhh blabla kibao. Akilala ni fofofo mpaka asbuh. Saa 1:30 usiku tu usingizi mororo. Namimi nikiona hivyo,natoka kupombekaaa. Nimepanga kuchepuka
 
3. Kitu ambacho anahitaji nikae nae mda woote nisiende kutafuta . Anasema nazunguka saaaana . Yeye hana kazi. Nadhani hapo ndo shida ilipo lakini najitahd wikiend yoote nakaa na family na kuicare . Lakini mabadiliko siyaoni hata kdg
Kila tatizo huwa lina ufumbuzi wake,

Iwapo wewe na yeye bado hamjafikia ufumbuzi chanya wa kuwawezesha kuishi kwa furaha,

Basi shirikisha wakubwa / wazazi wake, haya yote unayoyapitia, na huenda kupitia mashaurino yatakayokuwepo mkeo atajitambua na kubadilika.
 
Akilala ni fofofo mpaka asbuh. Saa 1:30 usiku tu usingizi mororo. Namimi nikiona hivyo,natoka kupombekaaa. Nimepanga kuchepuka
Sio uamuzi sahihi na wakudumu, bali mbele huko utaongeza matatizo mengine.
- Shirikisha wazazi
- Kama dini inaruhusu, na uko tayari basi oa mke wa pili na sio kuwa na mchepuko.
 
Mkuu uvumilivu unamwsho hvyo vumiliaaaa ukiona mwsho umefika bx itafute furaha mwenyewe maisha bado yanasonga Km vyakukukwepesha kids mapema vipo vikwepe tu kwa ulizaliwa Naye mbona jmaa zako WA karibu wameachana na wake zao maisha yanaenda pengine hukuwahi kufikiria sasa ndo imekutokea ikubali Hali wapo wengine wengi tu,
 
Sio uamuzi sahihi na wakudumu, bali mbele huko utaongeza matatizo mengine.
- Shirikisha wazazi
- Kama dini inaruhusu, na uko tayari basi oa mke wa pili na sio kuwa na mchepuko.
Mkuu hili jambo sijamshirikisha mtu yyt zaidi yenu wana Jf.Hapa najua hamna anayenijua ndo maana nimemwaha sumu yote saivi niko mahala nakunywa pombe
 
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.

WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Hakuna ndoa hapo mkuu.
Ndoa imeqaunganisha kikubwa ni kupata utulivu wa moyo kutokana na mahitaji ya maumbile. Maana vingine vyote unaweza kuvipata nje ya ndoa.
 
*** Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara --- hili sio suluhisho

...kaaa na mwenzioo SEMA NAE EEE usione sooo...
 
*** Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara --- hili sio suluhisho

...kaaa na mwenzioo SEMA NAE EEE usione sooo...
Mkuu huwezi amini ndo nimeamkia pombe sigara Mungu shahidi
IMG_20190618_071620_8.jpeg
 
nimemwaha sumu yote saivi niko mahala nakunywa pombe
Kuwa makini na pombe, Daima unywaji usio wa afya matokeo yake huwa ni mabaya na yakujutia, wengi wamepoteza dira ya maisha kutokana na pombe, na huanza kidogo kidogo.

Iwapo muda huu unakunywa pombe, ni hatari na itaathiri maisha yako ya kazi.
Mkuu hili jambo sijamshirikisha mtu yyt zaidi yenu wana Jf.
Kwa hali uliyofikia, matumizi ya pombe, ni wakati sasa wa kuwashirikisha wengine, anza na wazazi wa mkeo.
 
Wakuu napumzika kuchati maana nimelewa tayar nimepata furaha ya muda LAKINI nitajuta haya nifanyayo Mungu anisamahe. Ngoja nitume vyakula huko nyumbani nao wafurahi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom