Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 858
Asante mkuu kwa hekima zako . Kuhusu hilo nimeshamuambia ni wapi naenda ndivyo sivyo? Tizama maswali ambayo namuuliza kila Mara
1. Nakuridhisha kimapenzi? Anasema ndio . Hamna shida
2. Sijali familia. Anasema najali sana tena nina huruma
3. Kitu ambacho anahitaji nikae nae mda woote nisiende kutafuta . Anasema nazunguka saaaana . Yeye hana kazi. Nadhani hapo ndo shida ilipo lakini najitahd wikiend yoote nakaa na family na kuicare . Lakini mabadiliko siyaoni hata kdg
Basi bro nikutoe wasiwasi mkeo anakupenda wala usipate hofu ni suala la wivu ndilo linamsumbua alafu WIVU ni kipimo cha mapenzi anakuwa na wivu kwa kuwa ana hofu ya kukupoteza
Shemeji ako alinileteaga hizo inshu nikampa uhuru amua either uendelee na maisha yako au ubadlike mwaka wa tatu huu katulia muombe sana Mungu pia spirituality kwenye ndoa ni muhimu sana sema tunaichukulia poa....pia hudhurieni semina za ndoa zinasaidia sana ku renew vows zenu kuwafanywa wapya
