Najuta kuoa

Najuta kuoa

Nahisi wewe ni mdogo wangu na kama sio wewe basi itakuwa story zenu zinafanana yaani mkewe yuko hivyo hivyo mpaka jamaa anatamani kumwachia kila kitu ahame mkoa au nchi kabisa!
Mdogo wako ni dhaifu sana
 
Ambao hamjaoa jamani kuweni makini..
maisha ya ndoa sio marahis sana.

-Oa mtu akuzalie watoto
-Oa mtu wa kukusaidia
-Oa mtu ili wewe uwe kiongozi wa familia
-Oa wa mtu wa kawaida saaana,

Huyo ndio MKE.

Uzuri wa MKE ni tabia..

Lakini wengi wetu(including myself) tunaangalia sana sababu za muda mfupi na uzuri wa nje....

"Usitumie sababu za muda mfupi kufanya maamuzi ya kudumu''
Mwl. J.k Nyerere.



U will thank me later
 
sasa skia...cheki kwanza una kosea wapi,,kama unaona humfanyii ujinga,,tafta taratbu ujue kinachomfanya awe na kibri,,ukikipata weka ushahidi,,tafta mchepuko anza kubutua kimyakimya na yeye kila kitu unampa isipokua mapenzi hata ikipta miezi sita,ili akikugundua sababu za kuwa na mchepuko unakua nazo na atakosa nguvu ya kukushutumu,,hii ni mind torturing ya hatari kama uyo manzi ni dhaifu hakika mawazo yatamrudia yeye na presha juu
 
Mkuu ze best solution Ni kutafta Kabinti kazuri kwa gharama yeyote ile alaf anza kuinjoy nako na jitahidi muwe mnatumiana meseji na uwe unaacha siku bila kuilok na jitahidi Mkeo ashike simu siku 1 aone meseji nzuri nzuri za huyo mwenzie Basi hapo atawaka moto kwa hasira alaf mtagombana kidogo, badae mkipatana atakuuliza huwa hupati nini kwangu mpaka unatoka nje we mwbie hauko romantik,una ubabe mwingi na mzigo sometime unaninyima basi,atapoa mwenyewe na kuanzia siku hiyo atakupa mzigo Kama dawa kwa siku Mara 3 hivyo wewe msugue hasa na umuoneshe na mhakikishie kuwa Sasa amebadilika na wewe unampenda na hutamsaliti hapo kazi itakuwa imeisha.Fanya hizo hatua fasta anza Leo kutafta.Unaweza ni PM nikushauri zaidi,Mimi ni mzoefu wa ndoa bro
 
Piga afe...... Unless uwe umerogwa au mpumbavu... Ufahamu wako ni mdogo.

Na kwa mtu ambaye kashafika level ya matatizo km yako katika mahusiano..


Hafai teena kushauriwa
 
Wanawake wana vitimbi shetani mwenyewe anasubiri..na ndio maana tumeambiwa tuishi nao kwa akili...😂😂
 
Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
 
Na huwa napenda kabla sijamuomba game huwa naandaa masingira toka asubuhi utani wa hapa na pale, hata kumuogesha ,kumsifia hata kwa kinafiki sasa jioni nahisi ni kusukuma tu kama mlevi LAKINI utaskia oooh kiuno chauma,ooh sjui nini subir kidogo nipukzk dk chache ohhh blabla kibao. Akilala ni fofofo mpaka asbuh. Saa 1:30 usiku tu usingizi mororo. Namimi nikiona hivyo,natoka kupombekaaa. Nimepanga kuchepuka
Mkuu kwani hakuna housegirl hapo?
 
Furaha yako wewe hakuna wa kukutafutia! Anza kuwa na furaha wewe kwanza!

Kila kitu kina chanzo! Nini kilisababisha hayo yote?! Kaa utafakari, zungumza naye!

Kabla hujawaza kunywa pombe na sigara tumia huo muda kumrekebisha!
 
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.

WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Unamfananisha na nani ambaye yuko tofauti na huyo?kwani ulishawahi kuishi na mwingine ukaona kuna tofauti?au unapewa ushauri na walioshindikana kwahiyo unahisi huyo wako ana kasoro?Nenda nae taratibu,tafuta wakubwa waliomzidi wamuelekeze jinsi ya kuishi na mwanaume kwenye ndoa,kinyume cha hapo sioni uharibifu mkubwa bado anarekebishika huyo...
 
Nikipata wangu sitaruhusu baridi limpige...ha ha ha pole mkuu vumilia huyo huyo myajenge ukiona vimezid bwaga manyanga.
 
Hata kinyonga hubadilika kutokana na mazingira aliyopo. Kuna mazingira umeyatengeneza wewe yamepelekea awe hivyo.
Umetupa mabaya yake, , ya kwako hujatupa.
Unatulazimisha tujadili u kanda maalum wake, nahisi kabila lake Mkurya. Tangu kabla hujaoa hukujua kuwa ni Mkurya? Mbona wakura watu poa sana wenye adabu na heshima zote?
Unasema uko Makambako 7unajifunika shuka, je haya ni majira ya kujifunika shuka Makambako, ?

Nadhani uko kwenye Makambako ya bongo muvi ............

Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa BASHITE ndio uwape hiyo story yako.
Mzee wewe ni Mkurya nini? Ha ha ha mana umejaa upepo sana
 
Nahisi wewe ni mdogo wangu na kama sio wewe basi itakuwa story zenu zinafanana yaani mkewe yuko hivyo hivyo mpaka jamaa anatamani kumwachia kila kitu ahame mkoa au nchi kabisa!
Na mahali ni hukohuko Makambako?
 
Mkuu, kwa hiyo wewe hadi umecheka maana unafurahia magumu anayopitia huyu jamaa? Au kucheka kwako kuna maana gani? Sijaelewa!!!
Asee hapo namtetea jamaa mana mi mwenyewe nimejikuta nacheka peke yangu hapa tena sana hasa hapo huyo shemeji alipomwambia "huwa nashukuru kimoyomoyo"
 
Hahaha eti ana shukuru Moyoni

Aise Kuna watu mna mioyo ya chuma yaani tabu zote hizo bado tu Unaishi na huyo mtu Mh! !!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom