Najuta kuoa

Najuta kuoa

Eti wana mtoto mmoja. Wakati wa morning glory mwanamke amevaa jinz. Kuna kitu kitamu kuliko morning glory kweli?
Huyo ni wa kunyooshwa tu, aachwe peke yake na mtoto kama mwaka mmoja afu jamaa arudi aone kama atakuwa anaitenga k mwenyewe bila hata kuombwa. Sasa hapo ukimsaliti napo atalalamika kweli.
 
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.

WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Kimbia UTAKUFA ukifanya JASIRI
 
Kama hudanganyi pole sana

Sipendi kumshauri mtu kuchepuka ila hii ndio solution, kwa nn akutese? Kama hataki ndoa si aondoke?

Anakufungia njee kama nani? Acha utani, nyumba yako Mke anakufungia nje? Au wewe ndio umeolewa anakufanyia Visa uondoke??
Believe me, believe me nimefuatilia post zako. Sijawahi ona sehemu unashauri kama hivi. Hatari sana
 
Ambao hamjaoa jamani kuweni makini..
maisha ya ndoa sio marahis sana.

-Oa mtu akuzalie watoto
-Oa mtu wa kukusaidia
-Oa mtu ili wewe uwe kiongozi wa familia

Huyo ndio MKE.

Uzuri wa MKE ni tabia..

Lakini wengi wetu(including myself) tunaangalia sana sababu za muda mfupi na uzuri wa nje....

"Usitumie sababu za muda mfupi kufanya maamuzi ya kudumu''
Mwl. J.k Nyerere.



U will thank me later
Shauri yao! I was super careful on that
 
Duh me demu wangu nilale nae alafu niingie JF aisee ujue lazima cm ivunjwe na ugomvi mkubwa utatokea ananiambia nikiwa nayeye kitandani basi vitu vingine nisivipe nafasi nakama nimechoka kubinuka basi nilale nakama sina usingizi basi tupige story zamaisha. Nashangaa huyo wako yukoje mkuu
 
Apambane tu maana pia kuna wanawake wanapitia magumu zaidi ya hayo kutoka kwa waume zao na jamii inaona kawaida ila hayo magumu wakipitia wanaume kutoka kwa wake zao jamii inataka tuwasikitikie

Binafsi namshauri aendelee tu na mke wake amuombee abadilike asiwaze kuchepuka, kumuacha wala kuoa mke mwingine yaani avumilie tu ili aone kama kuvumilia maovu ya mwenza wa ndoa kila siku ni kitu rahisi kama tunavyowashaurigi wanawake wavumilie maovu ya waume zao kila siku
Aisee
Yaani vibaya mnooo
 
Aya mambo ndio yananifany niendeleh kusubir kupata mtu sahii
Mapenzi yanapozaliwa huwa yamejaa utamu, lakini kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo yanavyopungua. Wewe kama umepata mpenzi ambaye unahisi utaweza kuvumilia mapungufu yake muoe tu maisha yaendelee.

Unafikiri itakuchukua muda kiasi gani kupata mtu sahihi, hususani hawa Wanawake ni vinyonga, wanabadilika kila baada ya dakika. Unaweza kuwa nae leo, kesho anakwambia muachane mpaka unajiuliza nimemkosea nini huyu?!
 
MM MARINGO KAMA HAYO NA UGOMVI KAMA HUO NAUTAFUTA HASAA KWA MWANAMKE MBONA SIUPATI??
 
umeoa mke wa mwenzio.....wako bado anakutafuta..... mapenzi matamu ni kwenye uchumba...ndoani ni sanaa,,, lazima wote muwe wasanii ili sanaa yenu muikubali muishi kwa raha mustarehe......nje ya hapo hamna kitu
 
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.

WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Pole kwa kufanya wrong choice...hakuna maisha ya raha kama ya ndoa only kama utafanya right vhoice..Mungu akupe hekima
 
Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.

WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Kanda maalum

Hawezi amini unampenda mpaka utembeze kichapo

Anzia hapo, vinginevyo anakuona mrisha tu
 
AINA NYINGINE YA UTONGOZAJI!
sounding desperate
needy
very vulnerable!

WAOKOAJE WANADAKAJE FURSA!
well pole lakin!
 
Kaa uzungumze nae kwa umakin mkubwa asipobadilika, mrudishe hta nyumban kidgo aende kujitafakar.suala LA kuwashirikisha wazaz mm sio muumin sana wa hilo ninyi ndo mnaweza badilisha mahusiano yenu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom