Yaani pamoja na mabalaa yote haya bado upo tu..!!Mkuu kuna wanawake jeuri duniani usiombe ukutane nao. Mdogo huambiwa na mkewe leo sijisikii kusex. Na hagusi. Lakini mwanamke ashapanga ratiba na mchepuko. Aliwahi ambiwa nina mimba ila siyo yako, kumwuliza ya nani akajibu ya mwanaume. Na vituko vingine kibao.
Dunia imebeba watu na viatu.
Yaani pamoja na mabalaa yote haya bado upo tu..!!
Hakyanani kuna wanaume ni majanga kwa taifa


sasa afe? Maisha yanasonga.Yote 9 bro, wacha kurudi usiku sana kisa kuangalia mpira kwani unalipwa aseee chali yng. Kama vp funga dish hapo nyumbani. Unajua kunavitu ukijinyima kwaajili ya familia sio mbaya au usipo angalia mpira unateseka? Sikujui wala hunijui ila inaboa sana kama hashukuru lakini tupila mbali we tenda mema na fanya kila unachopenda kumfanyia mkeo hata kama hashukuru alafu kama ni mwongeaji sana punguza mwanaume mara nyingi hatutakiwa kuwa waongeaji mno bali wasikilizaji mno. Talk less hear more. Si maaanishi usiongee hapana ongea ila kuwa na ope conversation ambayo neno moja kwako kweke atoe maneno ishirini lol. Pia tathmini je nn kilichobadilika, kwanini lazma kuna chanzo cha hiyo attitude. Pia kumbuka mahusiano bila mawasiliano ni sawa na 1+0=1 badala ya 1+1=2 LAZMA KUMAKITU KIMEEMDA WRONG KAAENI MTAFAKARI NA MUULIZANE KWANN MMEFIKIA HAPO MLIKO SASATupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Mi nishajiwekea, nikiona mwanamke hanifai ni kukaa nae mbali tu, sitaki kujipotezea muda wangusasa afe? Maisha yanasonga.
Kila mwanaume unayemwona barabarani kama kaoa ukzungumzia ndoa yako ilivyo, atakwambia afadhal ya wewe kuliko yeye. Ni siri za ndoa






Yote 9 bro, wacha kurudi usiku sana kisa kuangalia mpira kwani unalipwa aseee chali yng. Kama vp funga dish hapo nyumbani. Unajua kunavitu ukijinyima kwaajili ya familia sio mbaya au usipo angalia mpira unateseka? Sikujui wala hunijui ila inaboa sana kama hashukuru lakini tupila mbali we tenda mema na fanya kila unachopenda kumfanyia mkeo hata kama hashukuru alafu kama ni mwongeaji sana punguza mwanaume mara nyingi hatutakiwa kuwa waongeaji mno bali wasikilizaji mno. Talk less hear more. Si maaanishi usiongee hapana ongea ila kuwa na ope conversation ambayo neno moja kwako kweke atoe maneno ishirini lol. Pia tathmini je nn kilichobadilika, kwanini lazma kuna chanzo cha hiyo attitude. Pia kumbuka mahusiano bila mawasiliano ni sawa na 1+0=1 badala ya 1+1=2 LAZMA KUMAKITU KIMEEMDA WRONG KAAENI MTAFAKARI NA MUULIZANE KWANN MMEFIKIA HAPO MLIKO SASA
Dawa ya mwanamke jeuri ni kumletea mke mwenza tu.Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Mi nishajiwekea, nikiona mwanamke hanifai ni kukaa nae mbali tu, sitaki kujipotezea muda wangu




Pressure free zoneNi kweliUtakuwa ni mpole Sana wew