UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 450
- Thread starter
- #21
Nimeoa mkuuKumbe umeoa mchepuko wa mkuu wa kituo....
Pole sana...
Rudi kwenu ukatafute mke
Nimeoa mkuuKumbe umeoa mchepuko wa mkuu wa kituo....
Pole sana...
Rudi kwenu ukatafute mke
Hoja zangu ziko wazi na bayana kwenye post, #4 nenda ukasome vUwongo gani? Kwamba nimelazimisha kutoa kitu kinachoniumuza moyoni?? Au niongope ili iweje labda?? Hujawaza vizuri. Hapa nimetoa sumu mwilini huu muda ungekuta tupo kwenye morning Glory!! Lakini tumelal mzungu wanne . Unafkr ningeshika hii simu na kuandika?
Anashukurugi ki moyo moyo 😁😁😁Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Je wewe sio chanzo cha yeye kuwa na hizi tabia?,Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Mkuu, kwa hiyo wewe hadi umecheka maana unafurahia magumu anayopitia huyu jamaa? Au kucheka kwako kuna maana gani? Sijaelewa!!!ukiachana na yote hayo uliyoongea huko mwanzo mimi hapo mwishoni ndo pamenimaliza kabisa yaani hapo uliposema alikujibu kuwa huwa anashukuru kimoyomoyo ndo pamefunga kazi nimejikuta nacheka kwa nguvu peke yangu alfajiri yote hii aise hilo jibu la mkeo limeifanya siku yangu ianze vizuri
![]()
Ww kalale nje siku zote.....Tupo MAKAMBAKO KIKAZI KWA SASA
Analala na jinsi suruali
Ananifokea kama katoto
Nikimshika kiuno anajidai anaumwa
Nikimletea vitu vidogo dogo hashukuru
Akishtuka usiku akikuta shuka limenitoka wala hajali
Nikimkaripia anakuja juu
Maneno yamekuwa mengi Sana
Kanisababisha nakunywa pombe+ sigara
Ana ujasiri usio kuwa makini hata aweza kunifungia nje endapo nmechelewa usiku aidha kutafuta au kucheki mpira
Napoandika hii nimelala mzungu wa nne
Tuna mtoto wa kike wa kwanza,ndo anamjali tu.
Ni kanda maalum
Mtoto japo ni mdogo ila ndo ananipa moyo
Moyo wangu umejaa machozi hayatoki nje.
WAKUU WANGU
Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu . Nikimuuliza mbona huna shukrn anasema anashukurugi kimoyo !!
Achana nae utakufa wewe,kwani ni ndugu yako huyo?Nitumie mbinu gani kuishi na mtu kama huyu
Wewe sio binadamu wa kawaida,umejuaje ni uwongo kwa scenarios hizo chache tu,au ni shemeji yako?Kwenye maisha yako jiepushe sana na kuhukumu kwa kusikiliza kesi upande mmoja.
Story ya mshikaji ina uwongo mwingi ndani yake.
Asante mkuu kwa hekima zako . Kuhusu hilo nimeshamuambia ni wapi naenda ndivyo sivyo? Tizama maswali ambayo namuuliza kila MaraJe wewe sio chanzo cha yeye kuwa na hizi tabia?,
Je kwani kabla ya kuanza kuishi pamoja hukutambua tabia zake??
Je unadhani wapi unakosea, jirekebishe, naye atafuata mkondo.
Inasemekana: Tabia ya mwanamke katika ndoa hujengwa na kuimarika kutokana na tabia za mwanaume, Nadhani kuna mahala unakosea, jitafakari kisha jirekebishe, naye atabadirika kidogo kidogo na maisha yenu yatabadilika pia.
letq updates mkuu!Nahisi wewe ni mdogo wangu na kama sio wewe basi itakuwa story zenu zinafanana yaani mkewe yuko hivyo hivyo mpaka jamaa anatamani kumwachia kila kitu ahame mkoa au nchi kabisa!
Eti shuka makambako lohHata kinyonga hubadilika kutokana na mazingira aliyopo. Kuna mazingira umeyatengeneza wewe yamepelekea awe hivyo.
Umetupa mabaya yake, , ya kwako hujatupa.
Unatulazimisha tujadili u kanda maalum wake, nahisi kabila lake Mkurya. Tangu kabla hujaoa hukujua kuwa ni Mkurya? Mbona wakura watu poa sana wenye adabu na heshima zote?
Unasema uko Makambako 7unajifunika shuka, je haya ni majira ya kujifunika shuka Makambako, ?
Nadhani uko kwenye Makambako ya bongo muvi ............
Katafute mazezeta siku ya jumamosi kwenye maombi aliyoandaa BASHITE ndio uwape hiyo story yako.