Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,531
Sikujua kumbe na wewe una kipaji cha kuimba taarab. Ngoja nikuunganishe na Mzee Yusuf ukakoleze kipaji chako.Nawajua vyema kabisa..mtu serious huezi vaa raba nyeupe..maana akili yote itakuwa kuziprotect zisichafuke..ujinga huo
Ila hakuna chemistry nzuri kama ya mwanaume mwenye sura kavu akutane na mwanamke kisura lakini anakalia mifupa...
Wakikdansi utadhani Fiat inavutwa na Passo.