Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Hhha hapa mie ni balozi wao...nawasemea ni kweli tupu..kweli kbs![emoji3531][emoji3531][emoji3531]! Alafu hawaoni shida kumpa mwanamke wake hela...wale warefi Sasa mnashindana na mwanamke kudanga upewe hela...kitu kitongaaaa[emoji854]
Ha ha ha huu uzi bana
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Tangazo lako halijanivutia
 
Lekebisha sentence. Semawalio wengi na sio utujumuishe wote :

Mo ni sura mbaya?
Rostam ni Sura mbaya?
Lowasa m baya?
Idriss ni m baya?
Cheef Baroka ni m baya?

We kama umekutana na bwana wako mwanaume wa kinondoni akiamka asbuhi anapaka mafuta kwenye matako mwambie aendelee sisi tunatafta hela kwa niaba yake
 
Back
Top Bottom