Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Mkuu wangari nilikuomba unicheki pm nina jambo la kuteta na wewe, fanya hivyo basi mkuu maana pm yako naona umeifunga
Nadhani nimepatwa na ugonjwa wa kusahau..kifupi inanitesa na kunila balaa...sijui shida ni nn...naudhika...yaan nisamehe boss nakuja chap
 
Katika vitu vinabust nye..e zangu basi ni sura mbaya jamani mpk nasisimkwa, wabarikiwe sura mbaya wote
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌...+mie weusi na uwe na mikono ya misuli+ndevu za kutosha na migadenlov😅😅...nakosaga neno..ntaongea Nini Sasa hapo!?sijui unanimanya!...yaan muda wowote hata ukipata chembe ya Moto unaweza nyanyuliwa nduki mgongoni😅😅

Mwanaume mwenye hela automatic anakufanya ukose kujishongondoa..simu zake zootw ni zamaana tu ..Mara apigiwe simu na madalali kuhusu viwanja...Mara apigiwe simu na benk kumkumbushia check yake Mara aambiwe kesho kutwa Kuna semina Njombe ...yaan Hakawii kukuamnia twende kibaha kuchek kiwanja ukanishauri...Sasa uje kwa ndugu zangu na mimi wale wengine ..akijua mwanamke anahela utasifiwa had kuchwe...kazi kunywa tu na kuparty..ukimchungulia simu yake anabet 😣😣...chini kavaa Raba nyeupeeeeeeeee utadhani ni form six leaver....pyeee...na kipensi kifupi anashindana na Wangari kuonesha mapaja🤣🤣🙌🙌! Ukienda washrooma jamaa unamkuta anajitizama kwa kioo🤸Deals zake Sasa...za kuunga unga unga Sana had kero..mechi zote analazimisha mchek😏😔! Oh hapana Asante jamani bye!
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Kama vile wanawake wengi wazuri, wengi wao ni empty kichwani.
Sasa wapate vyote alafu wengine wapate nini??
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌...+mie weusi na uwe na mikono ya misuli+ndevu za kutosha na migadenlov😅😅...nakosaga neno..ntaongea Nini Sasa hapo!?sijui unanimanya!...yaan muda wowote hata ukipata chembe ya Moto unaweza nyanyuliwa nduki mgongoni😅😅

Mwanaume mwenye hela automatic anakufanya ukose kujishongondoa..simu zake zootw ni zamaana tu ..Mara apigiwe simu na madalali kuhusu viwanja...Mara apigiwe simu na benk kumkumbushia check yake Mara aambiwe kesho kutwa Kuna semina Njombe ...yaan Hakawii kukuamnia twende kibaha kuchek kiwanja ukanishauri...Sasa uje kwa ndugu zangu na mimi wale wengine ..akijua mwanamke anahela utasifiwa had kuchwe...kazi kunywa tu na kuparty..ukimchungulia simu yake anabet 😣😣...chini kavaa Raba nyeupeeeeeeeee utadhani ni form six leaver....pyeee...na kipensi kifupi anashindana na Wangari kuonesha mapaja🤣🤣🙌🙌! Ukienda washrooma jamaa unamkuta anajitizama kwa kioo🤸Deals zake Sasa...za kuunga unga unga Sana had kero..mechi zote analazimisha mchek😏😔! Oh hapana Asante jamani bye!
Kwenye maisha sijabahatika kuwa na hb, hao sura ngumu ndo wangu wananikuna kusipokunika
Comment yako inanitia ham.....narudi
 
Back
Top Bottom