Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

kuna msemo unasema "ukipewa ukilema unapewa na mwendo" huu msemo unawabeba sana wenye sura ngumu, means hua hawana cha kujivunia ndo maana wanatafuta pesa kutengeneza personality yao ili nao wapate chakujivunia
Nje ya mada

Hivi mkuu ule uzi ulikuwa unajielezea ukiwa mdogo ulidumbukia na baiskeli kwenye miba, hivi unaitwaje nikumbushe mkuu
 
Niko Hapa kwenye Baar moja, kuna hawa wapiga mziki wanapiga kwenye hiii baaar kuna Wimbo huo umepigwa Mzuri Sana wa sibabaishwi na suraaa napenda tabia njemaaaa, sasa Hapa kila meza ina mwanamke na mwanaume inaonesha hawa wenzangu ni wanawake wa pembeni maaarufu kidumu, sasa wanaume wooote ni wabaya kwa sura baraaa, Lakini wanamademu PC za Uhakika baada Ya huo Wimbo kupiga wametuliaaaa! Ili madume wao wapate hiyo message.

Lakini najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela? Maaana mmoja hapa nimeona kalipa bili laki na nusu ila Mimi nimetoka peke yangu.
Kama Tundu Lissu?
 
Hhha hapa mie ni balozi wao...nawasemea ni kweli tupu..kweli kbs![emoji3531][emoji3531][emoji3531]! Alafu hawaoni shida kumpa mwanamke wake hela...wale warefi Sasa mnashindana na mwanamke kudanga upewe hela...kitu kitongaaaa[emoji854]
Aisee... kwahiyo sisi warefu.. hahaha haya bana
 
Back
Top Bottom