Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,528
Anxiety ni hofu depression ni sonona, nadhani mwenzako anazungumzia loneliness.Hyo ni Depression ama anxiety mkuu.
Watu wenye depression na anxiety huwa hawahitaji company ya mtu wanataka kuwa wenyewe tu.