Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 87
- 208
Habari za muda wakuu,
Leo nimefikisha anivessary ya miezi nane ya worst heartbreak, hadi nikapakumbuka JF😀
Nakumbuka kuna siku nilianzisha uzi hapa yaliyonikuta baada ya kudumu na mtu kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, itoshe kusema huu mwaka sitausahau
Kwa sasa nimemove on niko vizuri na nimenenepa sema nikikumbuka najiona nilikuwa fala mwenye kichwa kizito asiyejiongeza na kipofu asiyeona
Haya wale ambao tumewai kupigwa matukio ni mwaka gani huo huwezi kusahau?