Hiki nilichokifanya hakitoleta shida huko mbeleni

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
436
Reaction score
934
Salaam. wakuu kina kitu kidogo nilitaka walau kwenu nyinyi mtazamo wenu je hakitoleta shida huko mbeleni

Inshu nzima iko hivi . kuna demu flani nilikutana nae maeneo flani demu kiukweli nikatokea kumuelewa

Basi nikaamua kumtokea na nikamueleza lengo langu kubwa nahitaji kuwa nae

Demu alizungusha zungusha kidogo kama mnavyojua lakini baadae akakubali, na tukaanza mahusiano

Lakini kadri tulivyozidi kwenda demu akawa mtu wa vizinga sana, ikafikia hatua nikitaka tuonane anaanza kuelezea shida zake mara ana shida na elfu kumi .au elfu kumi na tano

Siyo siri ile hali ikawa inanikwaza maana kama kweli alikuwa na shida na namba yangu anayo na tunawasiliana kila siku kwanini asiniambie mapema, iweje nikitaka kuonana nae ndo anaanza hizo sababu

Mwanzoni nilivumilia lakini baadae nikaona huyu hapana halaf ukijumlisha mimi mwenyewe bado najitafuta nikaamua kutemana nae na tukapotezeana kila mtu akawa hana habari na mwenzake

Sasa nilikuwa na jamaa angu tumeshibana sana.. sasa mshikaji ikawa kila siku ananisimulia mapenzi yanamchanganya kila akijaribu mahusiano anapigwa za uso

Kama nauli ashatuma sana kwa wanawake nauli inaliwa na hamna anachoambulia

Sasa alikuwa ameamua ajiweke mbali na mapenzi , kwa kiasi chake juhudi za kujiweka mbali na wanawake alifanikiwa lakini akawa anasumbuliwa sana na upweke kiasi kwamba ilifika hatua akawa hana hata mwanamke wa kumjulia hali kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza

Akawa ananiomba kama kuna demu namjua hana shida nimfanyie mchongo apate mwanamke

Kwanza nikamuuliza unataka mwanamke wa kuoa au wa kusaidiana tu kwa hapa na pale

yeye akadai vyovyote vile kama akimuelewa na wakakubaliana anaweza kumuoa

Basi ikabidi nimpasie namba ya huyo ambae alikuwa demu wangu yaani ex wangu

Mshikaji akashukuru pale ila nikamwambia huyo demu kwa wewe ulivyo huyo demu anakufaa {mshikaji pesa sio shida sana kwake}

Basi bhana akaja akamcheki demu akaanza kumuuliza maswali ikiwemo wewe ni nani, namba yangu umeitoa wap, n,k

Jamaa akajitetea anavyojua basi akaanza kumwaga sera zake

Baada ya kama wiki walikuja kuonana uso kwa uso wakapiga story za hapa na pale kwa mujibu wa maelezo ya jamaa {kumbuka alikuwa ananisimulia kila tukio}

Kama utani mahusiano yao yakakolea na jamaa akawa anashukuru sana kumkutanisha na huyo mwanamke mpaka akasema anataka amuoe

Sasa mimi sina shida isipokuwa nawaza je. itakuwaje siku tutakapokutana na huyo ambae ni shemeji yangu mpya

Je. atajisikiaje atakapogundua kuwa mimi ndo niliegawa namba yake

na je. kama mshikaji akija kugundua kuwa huyo demu ambae sasa ndo mke wake niliwahi kuwa nae na mimi ndo niliempa namba atajisikiaje

TOENI MAWAZO YENU/MTAZAMO WENU JE . HALITOLETA SHIDA HUKO MBELENI
 
Fanya jambo jamaa asije akagundua atakuona snitch ingawa demu anaonekana toka mwanzo alikuwa hakupendi wewe kwahiyo punguz wivu mwache jamaa ajitafunie minyama kwasasa then baadae awaachie fisi wengine wakina sisi kitombile.
 
Nafasi yako kwa huyo malaya ilishaisha, sasa hv n wakati wa jamaa kula hiyo malaya, muda wa jamaa utaisha atafuata mwingine mpaka atafuata church boy na kumuoa 🔥

Sijaona baya hapo.
Kama tulikuwa wote hiyo malaya ni mwendo wa kuachina bila chuki wala wivu.
 
Ushauri wa bure ukitaka usiombwe sana hela fany hivi ile siku anakupa namba mpe na 20k au 10k ya vocha utakuja nishukuru....

Yan unaweza kumla kwa hiyohiyo 20k...

Halafu wakuu unakutana na mchumba amesuka vizuri amepaka makeup perfume kali halafu wewe unataka upeleke maneno na huruma zako...
Mkuu utapiga punyeto mpaka mbooo iote sugu za malengelenge
 
vijana hawaelewi yaani,, sijui tawaambie nini?
 
Back
Top Bottom