Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Umewahi kufanya kazi ama kuishi mazingira yanakubana huna mda?
Mfano asubuh hadi usiku kazini ukitoka moja kwa moja nyumbani unasinzia?
Mkuu,siyo sababu kabisa hyo..
Una mambo mengi umeyashikilia,
You have to let go them. Letting go ni process,inatakiwa uelekezwe.
 
hali kama hii huwa inanipata nikiwa na madeni au sina hela. Suluhisho ni kulipa madeni na kutafuta doo. Pole sana
Hii kawaida 🤣
Mtoa mada aseme vizuri.. chanzo cha sonona yake, ni pesa imekata au 🥹
 
Lakini nikiwa na vihela hela kwa pochi yangu hata kama sina matumizi nakuwa sina upweke kabisa.....tena nikajisikia na kuagiza vibia na hela ikatosha nakuwa sina probleme.

Ngoja sasa nifulie haki a mama huwa nakua na upweke hadi kuna muda nalia🤣
Usilie mchezo!🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi nakosaga Hadi confidence jamani yaani nakuwa mpole Sana mbele ya umma,
 
Umewahi kufanya kazi ama kuishi mazingira yanakubana huna mda?
Mfano asubuh hadi usiku kazini ukitoka moja kwa moja nyumbani unasinzia?
Hii sio shida. Hakikisha hao watu wako wa ofisini hawakukeri.
Maana ukikerwa tu, lazima urudi na sonono nyumbani. Na mwanzo wa stress ndio hapo + upweke wa kuishi mwenyewe
 
Sawa daudi.ila wapenzi wenyewe sasa majanga hawatulii siku hizi
Shida itakuwa kwako, ukiwa mtulivu unashindwa vipi kutafuta watulivu wenzako?!

Formula ya mahusiano huwa haidanganyi. Ukiwa mwizi utavutia wezi, ukiwa muongo utaletewa mpenzi muongo muongo kama wewe pia, ukiwa mkweli na mstaarabu kuna uwezekano mkubwa wa kupata mtu wa haiba yako.

Ni wewe tu unavyocheza karata zako.

Swali sasa , wewe umetulia au unajua kulaumu watoto wa wanawake wenzako?!
 
Back
Top Bottom