Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,399
- 65,410
Ni kweli Mkuu, tamthiliya nzuri zimekuwa nyingi nowadays, ukikaa uangalie hutajihisi Mpweke tena, labda itokee stori ya kwenye tamthiliya iakisi mambo unayopitia.Bila kusahau our story pia,jua kali, huba yan mambo mengi bila kusahau kusocialize .
Otherwise, you can enjoy life huku unapata Glass ya Wine 🍷 taratibu huku ukifatilia Tamthiliya zako