Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Inasababishwa na matarajio mengi, mahusiano yasiyo na afya, kujaribu kuridhisha watu, kutokusamehe, kutofanya wajibu wako, kuogopa kifo, kutokupata muda wa kupumzika, kumuasi Mungu Haya yote ni baadhi ya mambo yanayochangia kuwa ukiwa .
Dah..haya mkuu
 
🤣🤣🤣Mimi huwa Kama naumwa yaani
Lakini nikiwa na vihela hela kwa pochi yangu hata kama sina matumizi nakuwa sina upweke kabisa.....tena nikajisikia na kuagiza vibia na hela ikatosha nakuwa sina probleme.

Ngoja sasa nifulie haki a mama huwa nakua na upweke hadi kuna muda nalia🤣
 
Back
Top Bottom