Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Kuoa au kuolewa sio solution, sometmes unaeza kuta wenza ndo vyanzo vya upweke

Cha kufanya ajiorodhoshee vitu anavyopenda then achague kilichobora kwa muda huo

Mfano unasikiliza mziki, unawasiliana na the best buddy of yours, unapika chakula unachopenda
 
Hii inatokea
Siku mtu waweza amka ujikute tu mood ziko off. Ukishasikiliza mizki miwili/3, ukachangamana na watu uwa inakata.

Lakini kwa mtoa mada mpaka kaja kuandika maana yake sio katatizo ka off mood hako.
It happens.Not all the time but sometimes ila often
 
Inasababishwa na matarajio mengi, mahusiano yasiyo na afya, kujaribu kuridhisha watu, kutokusamehe, kutofanya wajibu wako, kuogopa kifo, kutokupata muda wa kupumzika, kumuasi Mungu Haya yote ni baadhi ya mambo yanayochangia kuwa ukiwa .
 
Kuoa au kuolewa sio solution, sometmes unaeza kuta wenza ndo vyanzo vya upweke

Cha kufanya ajiorodhoshee vitu anavyopenda then achague kilichobora kwa muda huo

Mfano unasikiliza mziki, unawasiliana na the best buddy of yours, unapika chakula unachopenda
Una stress, zimejaa
Nguvu ya kupika utatoa wapi? 😂😂
Hapo ni mziki + kawine kama anatumia + chatting/ surfing on nets.
 
Inasababishwa na matarajio mengi, mahusiano yasiyo na afya, kujaribu kuridhisha watu, kutokusamehe, kutofanya wajibu wako, kuogopa kifo, kutokupata muda wa kupumzika, kumuasi Mungu Haya yote ni baadhi ya mambo yanayochangia kuwa ukiwa .
Eeeeeh,mbona mengi hivyo jamani
 
Back
Top Bottom