Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Ma biefuefu [emoji1787]
Mbona kuna wengine kila mtu ni rafiki yetu? Hatuna hao wa kuitwa BFF?

Mtu unashindwaje kutengeneza urafiki?
Hujui kuongea? Huna hata story za uongo [emoji1787]
Ni unanata sana? Au shida nn
Sijui shida inakua wapi.... Ila watu wa hivyo wapo sana[emoji23]
 
Hivi sasa umejibu vya juu juu, fikiria tena ni kitu au vitu gani unahitaji kufanya sio unavyotaka kufanya?

Unahitaji nini kwasasa?!

Cha kwanza hapa mimi nakwambia na usikatae maana me ni mtu mzima na nina experience. Wewe hautombani vizuri kwa kifupi haujapelekewa moto ile hadi umepata orgasm mara kadhaa ndani ya siku moja.

Haya vingine nisaidie kutaja, vile ambavyo unahitaji sio vile unataka.
Taratibu ndugu khaa
 
Hapana. Depression, anxiety hali critical zaidi kwa maana ya hali za matatizo ya akili ambazo hutokana na trauma mbali mbali. Ila loneliness ni just a temporary feeling ndio maana inakuja na kuondoka.

Huwezi ukaenda kulipia psychiatric evaluation na diagnosis kwaajiri ya kutibu upweke pekee yake.
Mkuu, nina uhakika akipata psychiatrist akamfanyia evaluation ataongea mengi ambayo hajasema hapa.. loneliness ni moja wapo ya sign,mtu anapoteza appetite ama morali na vitu ambavyo mwanzoni alikuwa akivifurahia ikiwemo sexual intercourse.
 
Una matarajio unayo ona huwezi kuyatimiza...?

Umeachwa na umpendaye (MPENZI)

Umepoteza mtu unae mpenda (Kifo)

Umefukuzwa kazi

Umekosa Ada ya masomo...

Una ugomvi wowote na mtu yeyote?

Umedhulumu mtu, umebaka, umesex au jambo Gani limekufanya uwe very Low..

Je unatumia vilevi vyovyote au una kesi yeyote..

Umepima labda ukagundulika na maradhi...

Labda hauna pesa na unadaiwa Kodi ya pango

Lazima Kuna sabb sio Bure Bure..................funguka usaidiwe
Hata nkifunguka sioni pa kutokea
Ntapambana mkuu
 
Mkuu, nina uhakika akipata psychiatrist akamfanyia evaluation ataongea mengi ambayo hajasema hapa.. loneliness ni moja wapo ya sign,mtu anapoteza appetite ama morali na vitu ambavyo mwanzoni alikuwa akivifurahia ikiwemo sexual intercourse.
Sure. Mf mie nilikuwa napenda chips mayai. Ila sahivi nikiiona tu nashiba.
 
Jitahidi ujichanganye kwenye jamii na usijione wewe ni special huwez kuwa sehemu ya hao watu jishushe, mfno shiriki ibada, jumuiya , jiunge vikundi vya kijamii hata km unaona huna umuhmu navyo ila kwa tatizo lako jitahd kushiriki.
 
Hapana. Depression, anxiety hali critical zaidi kwa maana ya hali za matatizo ya akili ambazo hutokana na trauma mbali mbali. Ila loneliness ni just a temporary feeling ndio maana inakuja na kuondoka.

Huwezi ukaenda kulipia psychiatric evaluation na diagnosis kwaajiri ya kutibu upweke pekee yake.
Hivi kuna binadamu ambae hawezi tokewa na hisia ya upweke kwenye hii dunia?
Leo unakuja unafanya hobby zako na kujiweka busy kesho unashangaa haupo

Baada ya week siku mbili unakutokea.
 
Mkuu happiness start within yourself

Hata ukiwa umeolewa ukawa na watoto kama hujajiekea mazingira ya kua na furaha wewe mwenyewe lazima uwe mpweke
Furaha ni kitu gani?! Last time i checked watu walio na furaha hata hawajui kama wanayo sababu wapo busy na maisha. [emoji23][emoji23][emoji23]

So ukianza tu kusema hizi story za sijui furaha unaitengeneza mwenyewe then ushafeli kwenye hiyo safari ya kuipata hiyo furaha. Ndio maana watu wengi wanaotafuta furaha hawaioni.
 
Back
Top Bottom