Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Pole ndugu.
Kuna kitu hakiendi sawa katika kawaida yako, au umekua na matokeo usiyoyataria.
Katika hali ya kawaida hauwezi kupata utulivu bila ya kusulihisha hivyo.

Bahati nzuri tumejaliwa akili, ambayo tunaweza kuitumia kupata suluhisho ya kila kinachotusibu.

Tengeneza akili yako isilipe umuhimu jambo ambalo halipo lililokosekana maadamu uzima upo.

Unda akili yako iwe inapuuza kila kisicho cha muhimu, unda akili yako izalishe furaha kutoka kwako wewe na si kwa mwingine alie nje ya wewe.
 
Tatizo la Upweke kwa Vijana wa Umri wako linatokea wapi?

Huna marafiki, watoto, Mume, Mke mshinde mnaangalia pamoja Ottoman?

Bado kuna social network Instagram,Tiktok, Facebook, JF

Kwa Dunia ya sasa tatizo la Upweke linawasumbua zaidi Watu wenye Umri Mkubwa hasa Wazee, ingawa kwa upande wa Nchi yetu Tatizo sio kubwa kutokana na kuwa Wazee wengi huwa wanakufa kabla ya Umri Mkubwa.
 
Deep inside najiona mpweke na sijui shida nini! Nkiwaza suluhisho sijui ni nini, najiona niko mwenyewe.

Kuna mtu anaexperience hii hali?
Sijui jinsia yako. Ila kama ni mwanamke tafuta dume, na kama ni mwanaume wewe ni mwanaume dhaifu. Wanaume huwa hatujisikii upweke na ikiiona dalili unatafuta mbususu na huwa hatupost vitu vya kipumbavu kama hivi. Ni mambo ya wadada kuofanya kila mtu qjue anajisliaje leo
 
Tatizo la Upweke kwa Vijana wa Umri wako linatokea wapi?

Huna marafiki, watoto, Mume, Mke mshinde mnaangalia pamoja Ottoman?

Bado kuna social network Instagram,Tiktok, Facebook, JF

Kwa Dunia ya sasa tatizo la Upweke linawasumbua zaidi Watu wenye Umri Mkubwa hasa Wazee, ingawa kwa upande wa Nchi yetu Tatizo sio kubwa kutokana na kuwa Wazee wengi huwa wanakufa kabla ya Umri Mkubwa.
Hivi kwanza ni mwanamke au mwanaume?
 
Labda wanakosa bando
 
Unajua umri wake?
Au unahisi humu wote vijana?
 
Pole ndugu.
Kuna kitu hakiendi sawa katika kawaida yako, au umekua na matokeo usiyoyataria.
Katika hali ya kawaida hauwezi kupata utulivu bila ya kusulihisha hivyo.

Bahati nzuri tumejaliwa akili, ambayo tunaweza kuitumia kupata suluhisho ya kila kinachotusibu.

Tengeneza akili yako isilipe umuhimu jambo ambalo halipo lililokosekana maadamu uzima upo.

Unda akili yako iwe inapuuza kila kisicho cha muhimu, unda akili yako izalishe furaha kutoka kwako wewe na si kwa mwingine alie nje ya wewe.
Sawa mkuu..nimeelewa
 
Back
Top Bottom