Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Tatizo la Upweke kwa Vijana wa Umri wako linatokea wapi?

Huna marafiki, watoto, Mume, Mke mshinde mnaangalia pamoja Ottoman?

Bado kuna social network Instagram,Tiktok, Facebook, JF

Kwa Dunia ya sasa tatizo la Upweke linawasumbua zaidi Watu wenye Umri Mkubwa hasa Wazee, ingawa kwa upande wa Nchi yetu Tatizo sio kubwa kutokana na kuwa Wazee wengi huwa wanakufa kabla ya Umri Mkubwa.
Sio mtu wa kujivhanganya san na jamii..pia sina marafiki wengi
 
Sijui jinsia yako. Ila kama ni mwanamke tafuta dume, na kama ni mwanaume wewe ni mwanaume dhaifu. Wanaume huwa hatujisikii upweke na ikiiona dalili unatafuta mbususu na huwa hatupost vitu vya kipumbavu kama hivi. Ni mambo ya wadada kuofanya kila mtu qjue anajisliaje leo
Ni mdada
 
Sio mtu wa kujivhanganya san na jamii..pia sina marafiki wengi
Huenda hapa ndiyo kiini cha tatizo lako, kama umeshazoea hali hiyo kuiondoa ni lazima ujifunze mambo mapya, kwa maana ya marafiki, jamaa n.k.


Ukishindwa bora uwe unaenda kusali Fellowship itakusaidia kukutana na wenzako kule pamoja na kuipa nafsi yako ukaribu wa kuongea na Mungu wako.
 
Back
Top Bottom