Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,654
Dah rejesho nalo linaleta upweke Sana🤣🤣🤣🤣🤣😂 bila sababu??
Labda kama una rejesho, ramani hazisomi.. umemkopesha mtu, anazingua kulipa na wewe ile pesa unaitegemea nk
Dah rejesho nalo linaleta upweke Sana🤣🤣🤣🤣🤣😂 bila sababu??
Labda kama una rejesho, ramani hazisomi.. umemkopesha mtu, anazingua kulipa na wewe ile pesa unaitegemea nk
Una matarajio unayo ona huwezi kuyatimiza...?Deep inside najiona mpweke na sijui shida nini! Nkiwaza suluhisho sijui ni nini, najiona niko mwenyewe.
Kuna mtu anaexperience hii hali?
Ukiangalia tarehe zimekaribiaDah rejesho nalo linaleta upweke Sana🤣🤣🤣🤣🤣
Pia inawezekana mleta mada hana rafiki wa karibu kabisa, na hawezi kutengeneza marafiki.....Hapo sababu ipo, ni kukosa pesa.
Upweke wa hapo ni wa wengi,,
Ila upweke wa bila sababu kama wa mtoa mada [emoji23] unahitaji kuwa unlocked
Kama ni kweli!barikiwa sanaKama ana shida kweli anitafte
Sio wanaume wote tupo after some coochie aisee
Some of us considers women as of an equal collateral
Nshakukimbilia tayari...🤭Pesa nazo zilishaijua tabia yako hazitaacha kukutesa, na sasa nitaungana nazo tukutese hadi unikimbilie😂😂🤩🤩
Hapana. Depression, anxiety hali critical zaidi kwa maana ya hali za matatizo ya akili ambazo hutokana na trauma mbali mbali. Ila loneliness ni just a temporary feeling ndio maana inakuja na kuondoka.Sasa depression na anxiety vinaeza sababishwa na upweke....
Unataka kusema nini[emoji23]pole aisee, basi mnaweza kutengeneza kamuungano kenu na mleta uzi au unaonaje [emoji41]
Wazee wa fursaNi muda wa kuwa na mwenza...kwa ushauri zaidi namna ya kufanya nijie plz
OkKama ni kweli!barikiwa sana
Yaani umekaa zako umetulia ukikumbuka tarehe Moyo unalipuka paah🤣🤣🤣🤣Ukiangalia tarehe zimekaribia
Ramani 0-0
Lazima kichwa kiwake moto
amna🙄🤐Unataka kusema nini[emoji23]
Hii ni kali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sina rejesho, simdai mtu....ni ramani na kukosa hela vinaleta upweke naanza kulia....tena bora nilie sijanywa nikinywa machozi yanakua kama mvua
Mimi ni consultant wa psychology najua ninachokisema. Haya mambo yapo very deep. Sasa usichukulie juu juu.Hyo ni sign mojawapo mzee,jifunze vizuri..usikariri.
Ila kweli[emoji23] orgasm zinasaidia kupunguza upweke.....Wazee wa fursa
Ma biefuefu 🤣Pia inawezekana mleta mada hana rafiki wa karibu kabisa, na hawezi kutengeneza marafiki.....
Eeh na mshamba_hachekwi 😃😃Unatoka huko halafu tena unarudi huko huko. Kama haujui kazi ya Ndoa omba kueleweshwa sio kuongea mambo usiyojua. Kwanza umeolewa wewe?!