Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Najihisi upweke na sijui shida ni nini

Furaha ni kitu gani?! Last time i checked watu walio na furaha hata hawajui kama wanayo sababu wapo busy na maisha. [emoji23][emoji23][emoji23]

So ukianza tu kusema hizi story za sijui furaha unaitengeneza mwenyewe then ushafeli kwenye hiyo safari ya kuipata hiyo furaha. Ndio maana watu wengi wanaotafuta furaha hawaioni.
Unakosea mkuu unajua watu tunatofautiana interests na hapo ndio unapata "furaha maana yake nini"

Think
 
Vizuri sana rafiki yangu....

Kataa ndoa, epuka misongamano[emoji23]

To being single and happy[emoji1635]
Nyoo mi sijakataa ndoa hata😂😂😂, every woman dream is to have a husband

By the way i just said your happiness shouldn't depend on other be your cwn company first

Mfano kuna mtu yupi anapenda kuishi na mtu ana huzuni kila siku?? 😂😂😂😂 invest your happiness within you
 
Si
Nyoo mi sijakataa ndoa hata😂😂😂, every woman dream is to have a husband

By the way i just said your happiness shouldn't depend on other be your cwn company first

Mfano kuna mtu yupi anapenda kuishi na mtu ana huzuni kila siku?? 😂😂😂😂 invest your happiness within you first
Si Bado unanipenda mamy?😍😍
 
Nyoo mi sijakataa ndoa hata[emoji23][emoji23][emoji23], every woman dream is to have a husband

By the way i just said your happiness shouldn't depend on other be your cwn company first

Mfano kuna mtu yupi anapenda kuishi na mtu ana huzuni kila siku?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] invest your happiness within you
Kwahiyo unaniruka futi 100....[emoji23]

Enewei,

To being single for now[emoji1635]
 
Back
Top Bottom