Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,836
- 43,541
Mm kama mdau wa afya nashaur atumie ABITALUnajiskia kupungukiwa kitu ndani ya nafsi yako..
Pengine huna mood hata ya movie or series ikuchangamshe.
Mm kama mdau wa afya nashaur atumie ABITALUnajiskia kupungukiwa kitu ndani ya nafsi yako..
Pengine huna mood hata ya movie or series ikuchangamshe.
What is that ?Mm kama mdau wa afya nashaur atumie ABITAL
cyproheptadineWhat is that ?
Ila wanaume wa kileo bana. Yaan mwwnaume unakuja mtandaoni kusema una upweke. Haya ni mambo ya wadada banaKila mtu anahitaji lake la kuundoa upweke, mbususu sio solution kwa wengine
Kuwa down Hakuna jinsia.Sidhan anamanisha upweke wa kukosa mbususu,ukiwa down au kushuka moyo hata mnara hausomi akili ikitingwaIla wanaume wa kileo bana. Yaan mwwnaume unakuja mtandaoni kusema una upweke. Haya ni mambo ya wadada bana
Uwe na baby pembeni then ujihisi upweke wewe mlalie huyo baby alafu mwambie akupalaze nywele au nyusi uwone huo upweke Kama utashobokaHujawahi kuwa na bebs hapo pembeni na bado ukajihisi upweke??? Mi kwakweli hii hali huwa inanitokea namuelewa kabisa mleta thread
Sio solutionUwe na baby pembeni then ujihisi upweke wewe mlalie huyo baby alafu mwambie akupalaze nywele au nyusi uwone huo upweke Kama utashoboka
Solution niniSio solution
Kwangu mie, Solution ya kwanza ni kuwa na helaSolution nini
😂😂😂 Oya salt Sasa nani akiwa na pesa anakuwa mpweke bana kilamtu anapenda haww nazo ila tatizo mfano mimi nikitegemea niwe na pesa ndio nisiwe mpweke aise nitakuwa mpwwkw mpaka nazeeka so option cheap ni hizo kuwa na mbebe wako hata huyo mtoa mada hapa tatizo ni pesa tu ndio zinampa huo upwekeKwangu mie, Solution ya kwanza ni kuwa na hela
Halafu zitafata nyingine mtoko, kula kunywa
Watu hawaelewiMimi hapa na experience hivyo sana sana.
Mpaka leo nimeamka na upweke ilibidi nichukue desperados nisikilize na country music.
Natamani kesho ifike niende zangu kazini.
Utanlipia nauli [emoji38][emoji38]Safiri
Ulilanduka? Mie niko baba levo😀Ni mimi na Mrs Lissu
Huenda ni kweli unachosema Mkuu, ila kwasasa Social networks zinasaidia sana kupunguza upweke.Bado hujaujua upweke ndugu
Na wengine hatuna hao unaosema
Na hiyo social network inaongeza upweke na siyo kupunguza
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Deep inside najiona mpweke na sijui shida nini! Nkiwaza suluhisho sijui ni nini, najiona niko mwenyewe.
Kuna mtu anaexperience hii hali?
Niliwaza mara mbili niakona hii sikukuu nayo imekaa kimtego, kesho nitafanya kazi huku kichwa nimeweka mezani😁 nimekunywa tu juice 🤣🤣Ulilanduka? Mie niko baba levo😀
Bila kusahau our story pia,jua kali, huba yan mambo mengi bila kusahau kusocialize .Tatizo la Upweke kwa Vijana wa Umri wako linatokea wapi?
Huna marafiki, watoto, Mume, Mke mshinde mnaangalia pamoja Ottoman?
Bado kuna social network Instagram,Tiktok, Facebook, JF
Kwa Dunia ya sasa tatizo la Upweke linawasumbua zaidi Watu wenye Umri Mkubwa hasa Wazee, ingawa kwa upande wa Nchi yetu Tatizo sio kubwa kutokana na kuwa Wazee wengi huwa wanakufa kabla ya Umri Mkubwa.