Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,754
- 10,034
Ulinielewa vibayaKwahiyo unaniruka futi 100....[emoji23]
Enewei,
To being single for now[emoji1635]
Ulinielewa vibayaKwahiyo unaniruka futi 100....[emoji23]
Enewei,
To being single for now[emoji1635]
Nakukumbusha tu furaha ni kulewa na marafiki 😔Lazima nikuchoshe ujue, wewe si unafunika kombe?🤣🤣🤣
Nakula ngoma flan hapaWewe tena[emoji38][emoji38]
Hupataki nyumbani? Itakuwa unaishi na vitunguu maji 🤣🤣🤣Napitia hiyo hali sometime nyumban sipataki
Familia ndyo inayonipa stress siishi nayo wapo mkoa mwingine na yao ni mtumishi pia ila private sekta bc uhamisho unashindikana nilikua najiamulia kulewa ila sasa nimeacha maana na zenyewe pombe zinaniletea matukio makubwaAisee..huna familia?
Mimi bado mdogo sana kwahiyo mambo ya ndoa hata sijaanza kuyawaza hapa JF naigiza tu[emoji23]Ulinielewa vibaya
Ukiniletea rafiki wengi bill ni yako, mimi nalipo ya kwako na yangu...be informedNakukumbusha tu furaha ni kulewa na marafiki 😔
Hahaa hip hop tena? Lyricss ngumu namna ile...sio asikize Country songs...aimbe piasikiliza hip hop
😂😂😂😂 so wewe humu ndani unaona kila mtu ni mzee?? JF inatumia na watu wa rika.loteMimi bado mdogo sana kwahiyo mambo ya ndoa hata sijaanza kuyawaza hapa JF naigiza tu[emoji23]
I believe kwenye ndoa kuna vitu vizuri ila sasa naona nyie watu wazima kila siku mnalalamika ndoa zinawatesa, napata mashaka.....
Country songs zitamliza 🤣Hahaa hip hop tena? Lyricss ngumu namna ile...sio asikize Country songs...aimbe pia
Mi mdogo sana eti[emoji23] nimeingiza 19 juzijuzi hapa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so wewe humu ndani unaona kila mtu ni mzee?? JF inatumia na watu wa rika.lote
Unaeza kuta btn ww na mm mimi ni mdogo [emoji2][emoji2][emoji2] ni hizi keyboard tu
Dah..bas asikilize singeli afatilie mstari kwa mstari atachekq balaa...mm najikutaga nacheka tu nikiziskia...Country songs zitamliza 🤣
Tena aanza na demu wangu 🤣🤣Dah..bas asikilize singeli afatilie mstari kwa mstari atachekq balaa...mm najikutaga nacheka tu nikiziskia...
Ni mimi na Mrs LissuUkiniletea rafiki wengi bill ni yako, mimi nalipo ya kwako na yangu...be informed
🤓🤓mwambie amcheki Carrasco
😇🤣🤣Haha huyo anataka kutuachia gunia la bangi Amalizane tu na mshamba_hachekwi
Mnawezaje kua wapweke....Mimi hapa na experience hivyo sana sana.
Mpaka leo nimeamka na upweke ilibidi nichukue desperados nisikilize na country music.
Natamani kesho ifike niende zangu kazini.