Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
Dah.Yani na mimi nimekumisije!! Siku hizi naonekana humu kama mvua za vuli .Mambo vipi lakiniHivi unajua nimekumiss...lol
Umepotelea wapi lakini best?
Dah.Yani na mimi nimekumisije!! Siku hizi naonekana humu kama mvua za vuli .Mambo vipi lakiniHivi unajua nimekumiss...lol
Umepotelea wapi lakini best?
Nipo dear.Mambo tu yanabadilika yanakuwa mengi.Vipi unanilindia stevoh lakini?hee bestito ulipotelea wapi weye jamani nimekumiso ile mbaya karibu
Pole zako nyingi sana, ID yako ya siku zote ni ipi!?
Umri haujakata lyamber na wanaume wapo tele Ila kila shetani na mbuyu wake!na kuhusiana na hilo swala la watoto hao ni mayatima na sioni kama ni tatizo kujitolea kuwa mama yao kwasababu wanahitaji motherfigure..isitoshe ukipenda boga upende na uwa lake!
akikujibu au akijichanganya tu nicopy best.
looo mavitu kama haya jf ndo nliyoyamiss
Dah.Yani na mimi nimekumisije!! Siku hizi naonekana humu kama mvua za vuli .Mambo vipi lakini
Unanichanganya Mkaka halafu ni Mjane ana watoto wawili?
Mapenzi yanautesa moyo wee - Belle9
lol! alishanitaka kunipa za uso kavu kavu kule kwenye PM kwa kuuliza swali hili, lakini kama unijuavyo yours truly nikaanza kurudisha za uso kwa speed kali sana ikabidi awe mpole tu lol! hahahahah na kuniambia maneno ambayo mwenyewe hayajaweka hapa, kwanini aliamua kutumia ID tofauti. Nilimuonea huruma kusema kweli maana binti anaelekea anampenda sana jamaa, lakini ndiyo hivyo tena jamaa labda ndio kishasepa au "anajipanga upya"
sawa watu8,nimekusikia...Kufunguka kuhusiana na kitu kunasaidia kupunguza msongamano wa mawazo na nilihitaji kusikia fikra za watu wengine na kusema kweli sijamtangazia chochote kwasababu hakuna any personal details here...This could happen to anybody and anywhere...
hapa ndo mnatakiwa kumwambia ukweli huyu mleta mada hata pm jamani hii ni jangaMh... hii story ya mjane fulani humu nimeishaisoma zaidi ya mara moja, na kuna hata thread nyingine ilikuja ya kumbutua... kumbe ile mbinu bado inafanya kazi?
swadkata.Huko kijijini nilipo laptop na computers ni nadra sana kupatikana.Na kweli umepotea sana basi nitakuwa nakutafuta nje ya hapa...si eti eenh?
Miye mzima wa afya hofu na mashaka kwako tu!
ha ha ha Asprin Paloma nimewamiss jamani
mleta mada msikilize snowhite Mamndenyi Kongosho BADILI TABIA
endelea kulialia lia mpaka kesho mwenzako kawapanga humu jf na nje kama 15 hivi na bado kuna mmama mmoja wa ARUSHA atakujia kulia humu ndani na id mpya soon.
Hiyo ni king uliyoingia unatakiwa ujitoe mapemaaaaaaa
Unamjua???
Huogopi kusutwa?
Unamjua???
Huogopi kusutwa?
nipo odo afu sijakuona kwa besidei yangu uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nalogout sasa baada ya kupanua mapafu yangu kwa leoila huyu mjane ni staraiker
ehehehhehe amu mekumithi odo upo?
kuna mmama wa arusha tena anakuja na id nyingne?
wale wa dar wamemaliza kulia?
hapa ndo mnatakiwa kumwambia ukweli huyu mleta mada hata pm jamani hii ni janga
nipo odo afu sijakuona kwa besidei yangu uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nalogout sasa baada ya kupanua mapafu yangu kwa leo
umeona eeeeeeeeeeeeee