Najihisi kuchanganyikiwa....

Najihisi kuchanganyikiwa....

mtu anakwambia.....naendesha hummer....mtoto wa kichagga nikisikia hummer naanza kupiga mahesabu ya cc za gari then wese linalomezwa hapo.....kwa nini nisiingie king.....kupiga race moja tu ya hummer ni full tank ya vitz.....nina ujanja........njoo muone mtu mwenyewe sasa.....fuko si fuko.....kapuku si kapuku....basi sida tupu....khaaaa......naipenda JF jamani....ni chuo tosha........
ha haaa, yaani nimecheka balaa.....
yaani wewe unasikiliza mbwembwe za humu?
juzi na mimi nilitoa swaga zangu kuwa mume wangu ni waziri, utanitaka.....
sasa kama kuna kiserengeti boy hapa kinataka kubebwa na mke wa waziri si anaingia chaka la nguvu? JF kweli ni chuo tosha, ndo maana swaga za humu huwa nazichukulia kwa ajili ya kupanua mapafu yangu tu, siwezi kuchukulia kitu serious humu, I am sorry for that
 
Hayupo active kwa sasa ila ni mtu active sana na anajuaga anachokiongea!

Mwe.. ina maana kuna ambao hawajuagi wanachokiongea?!
anyway, basi labda ni majukumu yamembana ndiyo maana hakujibu na hayuko active humu.. hivyo kuwa mvumilivu.
 
kha! Kama huna lakusema tafadhali kaa kimya tu!

Sina la kusema wapi bwana.... mwishowe utakuja nitaja afu nisutwe.... sio freshi. Mambo kibao ndo maana umeona kimya ila ntakutafuta.
 
Inawezekana yupo na User ID tofauti kama kaamua kuniblock watsapp anaweza kufanya lolote lile! Usijali najaribu kuwa mvumilivu kwa kadri ya uwezo wangu,Ahsante
 
Sina la kusema wapi bwana.... mwishowe utakuja nitaja afu nisutwe.... sio freshi. Mambo kibao ndo maana umeona kimya ila ntakutafuta.
Kama mambo kibao unafanya nn hapa?Hebu usinitibue ww tayari nishachafukwa na akili tangia hapo!
 
Mshukuru MUNGU kwa kila jambo, anakuepusha kitu hapo mwali wangu................ mradi hajakula kidoga ah.
 
Mwe.. ina maana kuna ambao hawajuagi wanachokiongea?!
anyway, basi labda ni majukumu yamembana ndiyo maana hakujibu na hayuko active humu.. hivyo kuwa mvumilivu.
Ndio kuna watu wanaongea vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu.Wengineo hata kuandika kwa usahihi hawajui(mbwembwe nyingiii)
 
mapenzi ya online huwa ni 4 the funs, wenzio tunatumia kutupunguzia stress za maisha especially after hard works na stress za ndoa... sasa wewe umeingia mzima mzima ndugu yangu. ila chukulia kama somo, next time usiingie kichwa kichwa. wanaume wengi walipo mtandaoni wana relationships, na japo wenyewe ndio huwa wanaanza kukuvutia uwapende ukiwakubali kiharaka wanakuogopa, mi sielewi hata wanaume wana matatizo gani
 
lol!!! Ni aje Chocs!? Niliangalia hii ID nikaona ina miezi miwili tu. Sasa miezi miwili tu mnaweza kupendana kiasi hiki kweli mpaka CF achanganyikiwe!? Kwa maoni yangu haiwezekani...ndio nikaomba kujua ID yake ya siku zote lol! Hujambo lakini weye!? Arusha kibaridi bado kinakunyanyasa au kuna ahueni!?

...mmmmmh BAK!
 
Last edited by a moderator:

Ooookei kumbe ivo
Mie sijambo sana tu,juzi na jana atleast jua lilitoka,ulale unono mpendwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shukrani, nawe pia Chocs...Tuombe na kesho na kesho kutwa jua litoke tena.

Ooookei kumbe ivo
Mie sijambo sana tu,juzi na jana atleast jua lilitoka,ulale unono mpendwa
 
Last edited by a moderator:
Umri haujakata lyamber na wanaume wapo tele Ila kila shetani na mbuyu wake!na kuhusiana na hilo swala la watoto hao ni mayatima na sioni kama ni tatizo kujitolea kuwa mama yao kwasababu wanahitaji motherfigure..isitoshe ukipenda boga upende na uwa lake!
 
Honestly when i love someone,i truly love them with my whole heart!ndio kilichoniponza hicho...

aisee ukiendelea hivyo wanaume watakutenda sana hadi umlaumu Mungu kukuumba mwanamke, uwe unaingia nusu kwanza then nusu nyingine utaimalizia vikao vya harusi vikianza
 
Tayari washanitenda sana!kwahio sijui kama nitamuamini yoyote kwasababu mara hii i thought this guy was really different!
 
Back
Top Bottom