jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
Hili nalo neno!....
umeona mwaego eh?
Ni suala la tafsiri tu
Hili nalo neno!....
we mwenywe na hilo pozi lako usilotaka kuniangalia unanichanganya !umeona mwaego eh?
Ni suala la tafsiri tu
Kusema kweli inaniuma sana kwasababu he is so educated and matured hata siamini kama anaweza kufanya such a childish thing!Sielewi ananufaika na nn mimi nikiteseka kusema kweli ningemuelewa angesema hataki kuwa na mimi kuliko anavyofanya!Its not fair wallahi!Nakaa najiuliza why?sipati jibu nimemuomba hata msamaha japo sijui kosa langu!
Mh! ID ya nn tena
Thats exactly what I am doing...
Kama afya inakuruhusu na ATM inatema. Wewe TU!
Ili iweje?Naomba tuwasiliane Madame! Pls
Thanks for your wonderful advice its very encouraging!Ushauri grow up yawezekana ni kubwa kwangu so dada yangu usiwe disparate kiasi hicho, acha kujirahisisha kwa mtu asiye na maana, mapenzi yapo usilazimishe utapata tu hitaji la moyo wako. Na usipende kuwa entertain watu wajinga kwenye maisha yako, broke his contacts zote. Raha ya mapenzi kupendana sasa hapo raha ipo wapi?? Wewe walk away kabisa tena mtu wa social network. Una mambo mengi ya umuhimu ambayo ungeweza kufanya zaidi ya hili. Wewe ni wa thamani sana so value urself
Thank you!U r not okey upstairs
Mimi sio mgeni wa social network na mapenzi yanapatikana popote mind what you are saying! Sikutafuta mume hapa na wala sitotafuta,alikuwa rafiki yangu zikajengeka hisia kati yetu kwahio it was just a coinsidence,too bad it didn't work out as planned...Na tafadhali tuheshimiane!Hivi una miaka mingapi.?? Unazijua social network vizuri.?? Umekuja mjini lini..hivi unaanzaje kuchanganyikiwa kwa mtu anayetumia id ya uongo..tena mtandaoni.?? Ni mzima kweli weww heell no....unataka mume mtandaoni.?? Wife/husband materials hawapatikani mtandaoni tena kwa style hii ya jf...me nampongeza huyo kaka ana akili sana utafall vipi kwa mtu usiyemjua personality yake...only chating inatosha kufall in love tena kiasi cha kuchanganyikiwa.?? Nyie ndio mnaodate na majini mpk mnapelekwa guest kunyongwa...r u out ur mind..??? I guess u r not up stairs
we mwenywe na hilo pozi lako usilotaka kuniangalia unanichanganya !
ahahhahahha
upo best?
ahahahhahahhah hata na hii ilikukosa!dah kuna watu hatunaga bahati jamani....
Acha tu niangaliege huku huku!
Nipo beste. Narukaruka tu hadi tunapishana.
Eid yangu umemaliza?