Najihisi kuchanganyikiwa....

Najihisi kuchanganyikiwa....

My brother SnowBall pita hapa puliziii japo ushauri kitu.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums[/QUOTE]

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hivi mwalimu wangu snowhite sikumbuki kama umeniita kwenye mnakasha huu adhimu hapa?

CC Asprin
na wewe tatizo unataka madarasa yoote yawe yako
clusters wewe
twisheni wewe
madrasa wewe
remedials wewe
ngumbaru chini ya mwembe wewe
ah!mi sa ntakuita sauti utaisikilizia wapi?
ila ndo umepitwa tena!
UTAJIBEBA!
 
He he he, ningeshangaa kama ubalokiwa wasap huna habari.

Yaani mie hata kabla hajanvua nshamblock moyoni.
ahhhahahhaha mi huwa sitendwi bila kujua kuwa natendwa asee!
yani the moment mtu anajipanga kuniblock whattsup sijui na viber mi siku nying nishamblock moyoni!
NA UZEE HUU?
kha!
ntake lazi mzee mwenzangu!lol!
 
mapenzi ya jf ? mi wangu kaninyima kuingia huku mi siku hizi guest tu
 
Kusema kweli inaniuma sana kwasababu he is so educated and matured hata siamini kama anaweza kufanya such a childish thing!Sielewi ananufaika na nn mimi nikiteseka kusema kweli ningemuelewa angesema hataki kuwa na mimi kuliko anavyofanya!Its not fair wallahi!Nakaa najiuliza why?sipati jibu nimemuomba hata msamaha japo sijui kosa langu!
Unauhakika gani kwamba ni Educated wakati humjui? Jaman kwann unamuamin mtu kijinga hivi?comeon lady hv kweli unateseka na mtu unayemuona kwny screen?jaman ww?are serious? No....!hivi vitu ndio vinatufanya wanawake tuonekane hatuna akili. Wake up lady! Hizi tecknolijia zisikufanye uwe mjinga bali zikusaidie kwa maendeleo yako ya msing c mapenz na watu usiowajua,nimekasirika sana nataman ningekuwa karibu nawe nikuchape kibao.
 
na wewe tatizo unataka madarasa yoote yawe yako
clusters wewe
twisheni wewe
madrasa wewe
remedials wewe
ngumbaru chini ya mwembe wewe
ah!mi sa ntakuita sauti utaisikilizia wapi?
ila ndo umepitwa tena!
UTAJIBEBA!

:tape::tape::tape::disapointed::disapointed:
 
Pole sana cheriefrance

Tatizo sio vigezo ndugu yangu nishakuwa na wa darasa la 7 pia na akaniumiza zaidi ya hivi!najiona si mtu mwenye bahati tu!

haijalishi upo na mtu mwenye elimu kiwango gani. wewe je umeelimika? hebu kaa chini ujifanyie self disection, kisha uone unachangiaje kuumizwa na watu hawa!!!
He actually mentioned that i am the perfect match for him!:disapointed:

he might mention, say and sing the world to you....he has to his senses na kuona hawezi kuwa nawe. Ubaya wake ni kuwa hakuwa na uwezo wa kukuface na kukutamkia kuwa huo uhusiano wenu hauwezi kuwa. So kaamua kufanya kwa vitendo. Ulitakiwa kuelewa. Sorry to say that kuja kuyaanika hapa inaonekana uko desperate. Pole sana! I hope umejifunza.

Mara nyingi when you are in "love" (sina hakika kama niite love ama obsessionama nini) you dont see the devil who is inside the other person. The mgane didnt love you from the start!
Its your heart that is broken, so now use your mind. Move on!

Samahanini wanajamii forum sidhani kama mutanufaika na lolote Kujua ID yangu!

humu jf kuna id mpaka karha yani....unaweka kuta umetongozwa na jinsia inayofanana na yako...tehee

:tape::tape::tape::disapointed::disapointed:
Kaizer amen!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana cheriefrance

haijalishi upo na mtu mwenye elimu kiwango gani. wewe je umeelimika? hebu kaa chini ujifanyie self disection, kisha uone unachangiaje kuumizwa na watu hawa!!!

he might mention, say and sing the world to you....he has to his senses na kuona hawezi kuwa nawe. Ubaya wake ni kuwa hakuwa na uwezo wa kukuface na kukutamkia kuwa huo uhusiano wenu hauwezi kuwa. So kaamua kufanya kwa vitendo. Ulitakiwa kuelewa. Sorry to say that kuja kuyaanika hapa inaonekana uko desperate. Pole sana! I hope umejifunza.

Mara nyingi when you are in "love" (sina hakika kama niite love ama obsessionama nini) you dont see the devil who is inside the other person. The mgane didnt love you from the start!
Its your heart that is broken, so now use your mind. Move on!

humu jf kuna id mpaka karha yani....unaweka kuta umetongozwa na jinsia inayofanana na yako...tehee

Kaizer amen!
Nimekumiss huuuuwiiiii!
 
Mshukuru MUNGU kwa kila jambo, anakuepusha kitu hapo mwali wangu................ mradi hajakula kidoga ah.
Mh.................. hivi ni mimi nliandika hapa kweli? Nikumbusheni kiboga ni nini tena?
Sawa ALHAMDULILLAH
cheriefrance hebu nkumbushe kiboga ni nini tena nahisi kuna aloacha geti wazi mtu akatemper na ID yangu...........:embarrassed1:
 
Last edited by a moderator:
Huyu kajitakia aulize JF family kabla ajajiingiza kichwakichwa mimi naona makosa ni yakwako mwenyewe jiulize pale mlipoanza ilikuwaje!na leo akublock whats app!
 
Back
Top Bottom